Wamarekani weusi ni weupe sana kichwani aisee. Nimewapiga kwenzi moja huko instagram wamebaki wanabwabwaja tu

Bila picha ni uzushi
Ila kiukweli black Americans wavivu Sana Na ndio wanaongoza kuwachukia immigrants huko Marekani hasa wanigeria
 
Likud brother Halafu unasema una exposure,na umewazidi akili wamarekani hata C.H huijui,,,,hiyo ni Club House ingia uone watu wanavyopanga hoja zao.
Kumbe kwako exposure ni kuwa current na issue za mitandaoni? Let me laugh 🀣🀣🀣🀣
 
Bila picha ni uzushi
Ila kiukweli black Americans wavivu Sana Na ndio wanaongoza kuwachukia immigrants huko Marekani hasa wanigeria
Muda si mrefu wataanza kufanya xenophobic attack kama SA
 
Kumbe kwako exposure ni kuwa current na issue za mitandaoni? Let me laugh 🀣🀣🀣🀣
Kwa hiyo wewe kuwa na exposure ni kusafiri kwenda kushangaa airport za watu?kama hauko updated na mambo yanayoendelea globally basi huna exposure!bado unaishi kwenye Dunia yako.....imagine C.H tu hujui ndio unasema unaendaga Marekani wewe?hebu acha uongo wako bwana
 
Yaani nchi yako inapumulia mashine uko busy na Marekani are you serious?Shule zako tu zile unazisifiaga hazina vitabu Wala walimu unashindana wamarekani...maajabu!
Mkuu unataka ajikite kwenye matatizo ya nchi ili apotee? Angalau ungesema ajikite kutatua matatizo ya familia yake na hiyo endapo unamfahamu.
 
Sasa kufa kwake ni sababu ya chuki za kidini,alivyomchallange yule Muhammad na akataka kufungua msikiti ndio waislam wasio na akili wakakurupuka as usual....Sasa hapo ujinga wake ni Nini?
Tatizo lako unajaribu kujibu maswali yangu kijasusi unahisi kama Nina kutrap vile La Hasha.

Do ur research welloo tafuta kujua why and how was Malcolm X killed kisha uniambie kama watu smart huwa wanauwawa kizembe namna ile and second tafuta statement ya Honorable Elijah Muhammad alichokisema baada ya Malcolm X kuuwawa.

Kama una muona Malcolm X ni intelligent basi jua una tatizo kubwa sana kwenye mind yako..
 
Kwani what is C.H tuanzie hapo kwanza?.
 
Kwani what is C.H tuanzie hapo kwanza?.
Sasa wewe Mtu na exposure yako unaniuliza Mimi Tena habari weak kama Hizo za C.H?nenda huko ukapambane nao wakutoe Nduki maana ukute huko Instagram Ulikuwa unabishana na wamalawi wafuasi wa 50πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kama kawaida yako umekwepa swali tena kijanja kwa sababu umegundua kosa ulilo lifanya la kunishangaa kuuliza C.H ni nini kwa sababu C.H can stand for anything not necessarily Clubhouse.

Back to ur point. Nijiunge Club house ili nijadili issue gani hizo ambazo zipo trending globally? Masuala ya Hamas na Israel right? Do u think am that kind of a person? Do u think I like to stress my self like you guys?

Huko C.H panakufaa wewe kwa sababu u love to stress urself plus ur a kind of a person who deserve to be brainwashed.

Nimediscuss ishu ya 50 kwa sababu inanihusu direct. Nina blood family in the state ambao ni immigrant that's why I was concerned with his recklessly statement.

Kwako exposure maana yake ni kuwa current na issue zote ambazo zina trend Marekani na Ulaya.

Si ajabu mtu akiuliza wasagaji na mashoga ni nini utamuona mshamba kwa sababu hayupo aware na mambo yanayo trend Marekani
 
Sasa wewe Mtu na exposure yako unaniuliza Mimi Tena habari weak kama Hizo za C.H?nenda huko ukapambane nao wakutoe Nduki maana ukute huko Instagram Ulikuwa unabishana na wamalawi wafuasi wa 50πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Naona umemgalagaza kabisa kijana wetu Likud, tatizo ujuwaji mwingi na fix kibao, halafu anaotaka kutupiga fix ni makamu ya Baba yake.
 
Hakuna sababu ya zaidi ya chuki za kidini,na source ni huyohuyo Elijah Muhammad hakupenda vile anapewa challenge za uhuni uliokuwa akiufanya.....Huwezi kuwa smart kama unavyodai mbele ya mtu ana gun amekushoot several times hiyo ina uhusiano gani na brain?hebu acha ubishi na kudivert hoja aisee
 
Naona umemgalagaza kabisa kijana wetu Likud, tatizo ujuwaji mwingi na fix kibao, halafu anaotaka kutupiga fix ni makamu ya Baba yake.
Wewe jamaa una gubu kama mtoto wa kike.Tangu nikupige roba kwenye post yako ile ya mwaka 47 bado una kinyongo na Mimi.

Move on bro🀣🀣🀣 Huyu Shangazi anakugaragaza labda wewe.
 
Wewe jamaa una gubu kama mtoto wa kike.Tangu nikupige roba kwenye post yako ile ya mwaka 47 bado una kinyongo na Mimi.

Move on bro🀣🀣🀣 Huyu Shangazi anakugaragaza labda wewe.
Labda unite Anko, huna umri wa kuniita bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…