Yaani unavyoelezea hizo genes (kama kweli zipo) ni kama vile ndio hizo zinazohusika ktk kuamua rangi ya ngozi (nyeusi) kitu ambacho hakiwezekani.
Lakini pia hata kama tujaalie kweli zipo na kuna linkage kati yake na group of genes zinazocontrol rangi (nyeusi) ya ngozi, basi kanuni za urithi zinaonesha kuwa genes hizo zingekuwa zinaenda kwa pamoja na gene(s) zinazocontol rangi, pasi na ufanisi wake kuathiriwa na intensity ya weusi wa ngozi. Yaani ingekuwa ima mtu anazo au hana.
Anyway, kuna sayansi kubwa nyuma ya genes' interaction and mechanism of their functioning. Kama kweli zipo, wabobezi wa fani hizo watakuja na majibu toka kwenye tafiti hapo baadae