Wamarekani weusi waathirika zaidi na virusi vya Covid19 tofauti na wenye rangi nyeupe

Wamarekani weusi waathirika zaidi na virusi vya Covid19 tofauti na wenye rangi nyeupe

Uzi wote blacks mnakataa tu na kupinga kua hawajaathirika sana hao Blacks.

ni ivi wote tuko sawa whether black or white immune inatokana na mazingira yako,ulaji,ambayo ni life style basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole yao sana...

Alafu hizi media kubwa hazioneshi hali halisi...

Wanagombana haswa kwenye supermarkets kugombania chakula...

Cc: mahondaw
 
Raia weusi wa mji wa Chicago ni nusu ya visa vyote vya ugonjwa wa virusi vya corona katika mji huo

Raia weusi wa mji wa Chicago ni nusu ya visa vyote vya ugonjwa wa virusi vya corona katika mji huo
Takwimu kutoka maafisa wa afya mjini Chicago zimeonesha athari kubwa ya virusi vya corona katika Wamarekani weusi.

Raia weusi wa mji wa Chicago ni nusu ya visa vyote vya ugonjwa wa virusi vya corona katika mji huo na zaidi ya asilimia 70 ya vifo vyote , licha ya kwamba idadi yao ni asilimia 30 ya watu wote katika mji huo.

Miji mingine yenye idadi kubwa ya watu weusi ikiwemo Dteroit, Milwaukee , New Orleans na New York pia imetajwa kuwa maeneo yalio hatari.

Marekani imerekodi wagonjwa 370,000 wa virusi hivyo na takriban vifo 11,000. Kote duniani kumekuwa na vifo 75,000 na visa milioni 1.3 kwa jumla.

Je takwimu hizo za Chicago zinaonesha nini?

Kufikia tarehe 5 mwezi Aprili , visa 1,824 vya ugonjwa wa corona kati ya 4,680 vilivyothibitishwa vilihusisha wakaazi weusi, walisema maafisa wa mji huo siku ya Jumatatu.

Hiyo ni tofauti na visa 847 vya weupe, 478 vya Hispanic na 126 vya Wa - Asia wa Chicago. Chicago iliripoti vifo 78 siku ya Jumapili huku asilimia 72 ya vifo hivyo vikihusisha watu weusi.

Utofauti huo unaonekana katika jimbo zima, ambapo watu weusi ni asilimia 41 ya vifo vilivyotokana na Covid-19, licha ya kuwa ni asilimia 14 ya watu wote wa jimbo la Illinois.

Kamishna wa Afya ya Umma wa jiji la Chicago Dkt Allison Arwady amewaambia wanahabari kuwa wakaazi weusi wa jiji hilo tayari wana wastani wa maisha mafupi kwa miaka 8.8 kulinganisha na wazungu.

Meya Lori Lightfoot amesaema kuwa virusi vya corona "vitateketeza Chicago ya watu weusi".

Amesema kuwa wakaguzi wa jiji hilo watatumwa madukani kuhakikisha kila mtu anatekeleza maelekezo ya kujitenga kwa umbali na wengine.

Meya Lightfoot pia ameelezea juu ya uwezekano wa kuwekwa marufuku ya kutoka nje kwa baadhi ya saa katika maeneo ambayo watu hukusanyika kwenye maduka ya pombe, linaripoti gazeti la Chicago Sun-Times.

Taswira ipoje nchi nzima?
Japo virusi vya corona vimepewa jina la "msawazo mkuu ", takwimu zinaonesha kuwa madhara ya maambukizi yanaweza kutofautiana kwa sehemu.

Katika jimbo la Michigan, Wamarekani Weusi ni asilimia 14 ya watu wote, lakini wao ni asilimia 33 ya wagonjwa wa corona na asilimia 41 ya vifo kutokana na ugonjwa huo, zinaonesha takwimu kutoka idara ya afya ya jimbo hilo kufikia jana Jumatatu.

Wazungu katika jimbo hilo ni asilimia 23 ya wagonjwa na vifo vyao ni asilimia 28, kwa mujibu wa takwimu hizo.

d980490dccfe9a47c92fb4b426d33c5f-1

Rais Donald Trump wa Marekani
Jiji la Detroit

katika jimbo la Michigan, lina wakazi weusi takribani asilimia 80, na jiji hilo pekee pamoja na viunga vya karibu yake vina asilimia 80 ya wagonjwa wote wa corona katika jimbo hilo.

Utofauti kama huo pia unaonekana jiji la Milwaukee, jimboni Wisconsin, moja ya maeneo yaliyoathirika zaidi na ubaguzi wa rangi nchini Marekani.

Watu weusi kufikia Ijumaa ya wiki iliyopita wanafikia nusu ya wagonjwa 1,000 na asilimia 81 ya vifo, japo watu weusi ni asilimia 26 tu ya wakaazi wa jiji hilo.

Takribani asilimia 40 ya vifo vitokanavyo na virusi vya corona katika jimbo la Louisiana katika jiji la New Orleans ambako watu weusi ni wengi zaidi.

Maafisa wa Afya hapo awali walieleza kuwa wakaazi wengi wa New Orleans wanakabiliwa na matatizo ya unene wa kupitiliza, kisukari na presha ya kupanda kwa kiwango cha juu zaidi nchini Marekani hali inayowafanya kuwa rahisi kudhurika zaidi na Covid-19.

d980490dccfe9a47c92fb4b426d33c5f-2

Utofauti wa Chicago unachochewa na nini?
Meya Lightfoot anasema kisukari, magonjwa ya moyo na magonjwa ya mfumo wa hewa yapo "kwa kiwango kikubwa" kwenye jamii za weusi.

Dkt Arwady amewaambia waandishi kuwa hata kama kila mtu katika jiji hilo angekuwa na uwezekano wa kumuona daktari, "bado tungeendelea kuona utofauti mkubwa kutokana na upatikanaji haba wa chakula bora na mitaa ya kutembea ".

Dkt Cameron Webb, ambaye ni tabibu mweusi anayewania ubunge katika jimbo la Virginia, ameiambia BBC kuwa tofauti za rangi na kiuchumi zinaoneshwa wazi na janga hili.

"(Janga la corona) linaonesha nyufa za jamii yetu," amesema.

Alderman Jason Ervin, ambaye ni mwenyekiti wa umoja wa wawakilishi weusi katika baraza la jiji la Chicago ameliambia gazeti la Chicago Tribune kuwa "wingi wa watu wasiofuata maagizo ya kujitenga nyumbani katika baadhi ya sehemu za jiji hilo" inawezekana pia ikawa inachangia takwimu hizo.
Inaaminika wenye magonjwa ya kisukari, pressure, moyo nk wako ktk hatari kubwa kupata Corona. Maisha ya waamerika weusi huwaweka kupata kirahisi kupata magonjwa hayo. Pia wanaishi kwa mbanano na inakuwa rahisi kuambukizana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanatukanwa sana kwenye mitandao ya kijamii, kwamba warudi Afrika waliko ndugu zao ili wapone, maana asilimia kubwa ya wanaokufa ni weusi.
==============================================

In Chicago, a recent report found that 70 percent of people who died from COVID-19, the disease caused by the coronavirus, are black — even though the city's population is just 30 percent black.

In Milwaukee County, which is 27 percent black, the figure is 81 percent.

And public health officials tracking the coronavirus have seen similar disproportionate impacts on African Americans in Philadelphia, Detroit and other cities.

But just how widespread the disparities might be across the country is difficult to know, because most states and the federal government haven't released demographic data on the race or ethnicity of people who've tested positive for the virus. That's created an information gap that could aggravate existing health disparities, prevent cities and states from equitably distributing medical resources and potentially violate the law, advocates say.

"Civil rights laws prohibit federally funded health care providers from administering services in a discriminatory manner," said Kristen Clarke, president and executive director of the Lawyers' Committee for Civil Rights Under Law, which joined with medical professionals Monday to call for the immediate release of racial and ethnic data on coronavirus infections, testing and deaths. "Our ability to fully understand and confront this pandemic requires and demands that we obtain racial data now.”

https://www.nbcnews.com/nightly-new...virus-death-toll-surpasses-10-000-81712709986
Some Democratic lawmakers have also pressed the federal government to release the data. Advocates say the lack of information makes it impossible to know whether resources are being fairly distributed or whether some groups are getting cut out, notably those, like African Americans, who are more likely to have underlying health conditions.

On Tuesday, President Donald Trump called the impact of the coronavirus on African Americans a "real problem" that was showing up "strongly" in the data. Dr. Anthony Fauci, director of the National Institute of Allergy and Infectious Diseases, added that pre-existing conditions that are more prevalent among African Americans, including asthma and diabetes, are a factor. “We’re very concerned about that,” he said.

Low-income people of color are also more likely to have jobs that can't be done remotely, meaning they're more likely to be exposed to the virus while more affluent professionals are able to stay at home. And they're less likely to have access to high-quality private testing or medical care.

"I'm concerned this will be yet another case where there's a huge difference between people who are more wealthy and people who are poor, and there's going to be a difference between people of color and how much they suffer," Dr. Marcus Plescia, the chief medical officer for the Association of State and Territorial Health Officials, said. “We have a longstanding legacy of bias and racism in our country and we’re not going to get beyond that quickly.”

Data difficulties
The Centers for Disease Control and Prevention has included age and gender in the flood of data that it has released daily since the pandemic began. The agency hasn't released racial or ethnic data and didn't respond to a request for comment.

Most states and territories haven't released racial or ethnic data, either. Plescia said he knows of only nine: Connecticut, Illinois, Louisiana, Michigan, Minnesota, North Carolina, South Carolina, Virginia and Washington, D.C.

Full coverage of the coronavirus outbreak

The rest either have struggled to gather the information or have raised concerns about the reliability of data collected under less-than-ideal circumstances, such as at drive-up testing centers or in hastily built medical tents.

Race "is an area of data that we have challenges with to begin with," Plescia said, adding that, even during normal times, some doctors or clinics might guess a patient's race or make assumptions when gathering information, sometimes forcing public health officials to track the data down later. The current crisis, with health care providers overwhelmed, makes data collection even more difficult, he said.

African Americans may be dying from COVID-19 at a higher rate. Advocates are demanding data.
 
Coronavirus turns racial in US as African Americans die at alarming rate due to discrimination
Kwa wale ambao hupenda kujiliwaza na kuzungumza mambo bila kutumia taarifa za kisayansi, watakua angalau wamepata jibu kwamba dunia haiwezi kuendeshwa kwa maneno ya vijiweni na barabarani.

Habari toka Marekani zinasema kwamba, watu weusi huko Marekani ndio wanakufa kwa wingi na haraka zaidi kutokana na COVID-19 kuliko watu weupe.

Ni mapema mno kuhusisha hali hii na mambo yanayohusiana na 'Genes", tofauti za kiuchumi, au tofauti za kimazingira. Lakini vyovyote vile iwavyo, ni wazi kwamba watu weusi na masikini ndio wenye kuathirika zaidi na magonjwa ya kuambukiza.

Waafrika tuache tabia ya kujidaganganya na kujipa matumaini yasiyokua na ukweli wala ushahidi wowote, badala yake tufuate na kuzingatia Maelezo ya kitaalamu ili kukabiliana na hili tatizo la Corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale munao waona amerka Ndio Kawaumba Nahisi Mnaelewa Somo

Sexer
Root
Missile of the Nation :-Hapa Nategemea Uandike Uzi Kuhusiana naubaguzi wa Wa US Kwa Waafrika
Mk254

Nawengineo

Sent using My COVID-19

Muajemi wa kwa mtongole mbona unayaleta yasiyohusiana na uzi, mimi hamna taifa hata moja ambalo huwa nashobokea, yakifanyika hovyoo lazima niyataje hata yawe Marekani, ila wewe Iran ikitajwa yaani siku inakuharibikia, unakua tayari kujitoa mhanga hata ulipuke kwa mabomu....huku ukifoka ala akbarrrr
 
Dr. Anthony Fauci, director of the National Institute of Allergy and Infectious Diseases, added that pre-existing conditions that are more prevalent among African Americans, including asthma and diabetes, are a factor. “We’re very concerned about that,” he said.
Habari imeisha.
Alafu vifo vinavyosababishwa na gangs ni vingi zaidi why ain't them concerned?
 
Wale munao waona amerka Ndio Kawaumba Nahisi Mnaelewa Somo

Sexer
Root
Missile of the Nation :-Hapa Nategemea Uandike Uzi Kuhusiana naubaguzi wa Wa US Kwa Waafrika
Mk254

Nawengineo

Sent using My COVID-19
Kati ya hizi nchi kubwa za waupe hakuna nchi ambayo watu weusi wako huru, wanapiga pesa, wanakuwa viongozi, talents zao zinathaminiwa, nk kama Marekani. Ulizia Russia, saudia, Iran, nk mweusi hata uenyekiti wa mtaa Urusi au Saudia hawezi kupata. Huwa nawashangaa sana mtu mweusi kuiponda US na kufagilia wabaguzi wakubwa waarab, warusi, wachina, nk.
Sio waafrika tu, US race yoyote ile unaishi kama kwenu na unatoboa. Na ndo nchi yenye raia wengi kutoka kila Kona ya dunia na hawatamani hata kuondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Coronavirus turns racial in US as African Americans die at alarming rate due to discrimination
Kwa wale ambao hupenda kujiliwaza na kuzungumza mambo bila kutumia taarifa za kisayansi, watakua angalau wamepata jibu kwamba dunia haiwezi kuendeshwa kwa maneno ya vijiweni na barabarani.

Habari toka Marekani zinasema kwamba, watu weusi huko Marekani ndio wanakufa kwa wingi na haraka zaidi kutokana na COVID-19 kuliko watu weupe.

Ni mapema mno kuhusisha hali hii na mambo yanayohusiana na 'Genes", tofauti za kiuchumi, au tofauti za kimazingira. Lakini vyovyote vile iwavyo, ni wazi kwamba watu weusi na masikini ndio wenye kuathirika zaidi na magonjwa ya kuambukiza.

Waafrika tuache tabia ya kujidaganganya na kujipa matumaini yasiyokua na ukweli wala ushahidi wowote, badala yake tufuate na kuzingatia Maelezo ya kitaalamu ili kukabiliana na hili tatizo la Corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
Weusi wengi wanaishi majimbo yaliyo kando kando mwa bahari na maziwa makuu, na hayo ndiyo majimbo yaliyo kumbwa na majanga. Ni dhahri weusi watakuwa wengi kama takwimu zako ni za kweli.
 
Weusi wengi wanaishi kwenye miji ya mwambao na miji hiyo ndiyo yenye majanga.
 
Weusi wengi wanaishi majimbo yaliyo kando kando mwa bahari na maziwa makuu, na hayo ndiyo majimbo yaliyo kumbwa na majanga. Ni dhahri weusi watakuwa wengi kama takwimu zako ni za kweli.
Kama nilivyosema, tujaribu sana kuepuka majibu ya haraka haraka bila kuwepu kwa ushahidi na utafiti wowote, hili ndio tatizo kubwa la sisi watu weusi popote pale duniani. Soma hiyo link ilivyoandikwa kiushabiki, hivyo ndivyo tulivyo sisi weusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama nilivyosema, tujaribu sana kuepuka majibu ya haraka haraka bila kuwepu kwa ushahidi na utafiti wowote, hili ndio tatizo kubwa la sisi watu weusi popote pale duniani. Soma hiyo link ilivyoandikwa kiushabiki, hivyo ndivyo tulivyo sisi weusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ubaguzi uko ila middle America ambako weusi ni wachache sana bado hakuna maambukizi mengi. Na hii ni kwababu majimbo haya ni "flyover states", hayana muingiliano mkubwa wa watu.
 
Kati ya hizi nchi kubwa za waupe hakuna nchi ambayo watu weusi wako huru, wanapiga pesa, wanakuwa viongozi, talents zao zinathaminiwa, nk kama Marekani. Ulizia Russia, saudia, Iran, nk mweusi hata uenyekiti wa mtaa Urusi au Saudia hawezi kupata. Huwa nawashangaa sana mtu mweusi kuiponda US na kufagilia wabaguzi wakubwa waarab, warusi, wachina, nk.
Sio waafrika tu, US race yoyote ile unaishi kama kwenu na unatoboa. Na ndo nchi yenye raia wengi kutoka kila Kona ya dunia na hawatamani hata kuondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app

'Ulizia Russia, saudia, Iran, nk mweusi hata uenyekiti wa mtaa Urusi au Saudia hawezi kupata. '

Hio sentensi hapo juu si ya kweli, kuna jamaa anaitwa Jean Gregoire Sagbo, ni mzaliwa za Benin na ni councilor of Novozavidovo huko Urussi.
 
Ni kweli kabisa mkuu, bwana Sagbo ambae ni Benin ameshikilia kiti hicho hata amebakisha miezi kidogo kumaliza.

Na vile mimi huona Warusi kama makatili sana !!!
 
'Ulizia Russia, saudia, Iran, nk mweusi hata uenyekiti wa mtaa Urusi au Saudia hawezi kupata. '

Hio sentensi hapo juu si ya kweli, kuna jamaa anaitwa Jean Gregoire Sagbo, ni mzaliwa za Benin na ni councilor of Novozavidovo huko Urussi.
Unaongelea Councillor wakati Marekani mtu mweusi amekuwa rais tena kwa mihula miwili mfululizo na kuna Senator mwanamke wa kisomalia, hapo utaongea kitu gani.
 
Back
Top Bottom