Sijskusudia kwamba black indian wako americaIla wote wapo katika kundi la black Americans ....sijawahi sikia race ya black Indians US
Hapo umeeleweka..,japo point yangu haikuwa hapo... Ndo maana basi hatukuelewana.Sijskusudia kwamba black indian wako america
Nimekusudia kua sio kila mweusi ni muafrica na kwamba kwasababu hiyo basi anavidhibiti imara dhidi ya corona
Nasikia hata Beyonce ni black American
Marekani weusi halisi kama huku Afrika ni wachache sana, Wengi ni machotara au wana damu ya kizungu kama Obama.
Lakini simasikini kama hao wanaoambiwa wasitembee na kukaribiana ila hawafati maelekezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaowazungumzia wapo sehemu ganiLakini simasikini kama hao wanaoambiwa wasitembee na kukaribiana ila hawafati maelekezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli African Americans wengi ni masihara na wasiojali maelekezo wanayopewa, yaan wengi walikataa shule ni vilazaMaafisa wa Afya hapo awali walieleza kuwa wakaazi wengi wa New Orleans wanakabiliwa na matatizo ya unene wa kupitiliza, kisukari na presha ya kupanda kwa kiwango cha juu zaidi nchini Marekani hali inayowafanya kuwa rahisi kudhurika zaidi na Covid-19.
Hiki kipande nilicho bold ni nukuu niliyoitoa hapo kwenye hiyo post yako, ilitakiwa kiwe kichwa cha habari. Vinginevyo unaweza kuwachanganya wadau wakajua kua mwafrika anakufa kwa corona
Mtu kama chris brown, rihana, willsmith nk hao wengi wao wana genes za uzungu na ndo kinacho wakostisha
Yaani unavyoelezea hizo genes (kama kweli zipo) ni kama vile ndio hizo zinazohusika ktk kuamua rangi ya ngozi (nyeusi) kitu ambacho hakiwezekani.Uimara unafifia pale ambapo genes za uzungu zinakua zipo kwa kiasi kikubwa kuliko genes za u-nigga
Lakini licha hata ya hivyo lakini bado victim waliokufa ni wale wale ambao wanamagonjwa ya ziada
Ifahamike kwamba huu ugonjwa bila kupata assist kutoka kwa ugonjwa mwingine ni ngumu sana kumuua kijana wa kiafrika (sio black america)
Marekani weusi ni jambo la kiutamaduni zaidi.Nasikia hata Beyonce ni black American
Nikweli ila weusi kama weusi bado sio kigezo sana, maana hapa hata wahindi weusi wanaweza kuingia.Yaani unavyoelezea hizo genes (kama kweli zipo) ni kama vile ndio hizo zinazohusika ktk kuamua rangi ya ngozi (nyeusi) kitu ambacho hakiwezekani.
Lakini pia hata kama tujaalie kweli zipo na kuna linkage kati yake na group of genes zinazocontrol rangi (nyeusi) ya ngozi, basi kanuni za urithi zinaonesha kuwa genes hizo zingekuwa zinaenda kwa pamoja na gene(s) zinazocontol rangi, pasi na ufanisi wake kuathiriwa na intensity ya weusi wa ngozi. Yaani ingekuwa ima mtu anazo au hana.
Anyway, kuna sayansi kubwa nyuma ya genes' interaction and mechanism of their functioning. Kama kweli zipo, wabobezi wa fani hizo watakuja na majibu toka kwenye tafiti hapo baadae
Uko sahihi pia kuna Waarabu weusi sana isip[okuwa tofauti ni nywele tu...Wahindi weusi huwajui?
Yani ni weusi pengine kuliko hata mpoki ila kinachoweza kutofautisha na sisi ni nywele tu
Nasikia hata Beyonce ni black American
Maafisa wa Afya hapo awali walieleza kuwa wakaazi wengi wa New Orleans wanakabiliwa na matatizo ya unene wa kupitiliza, kisukari na presha ya kupanda kwa kiwango cha juu zaidi nchini Marekani hali inayowafanya kuwa rahisi kudhurika zaidi na Covid-19.
Hiki kipande nilicho bold ni nukuu niliyoitoa hapo kwenye hiyo post yako, ilitakiwa kiwe kichwa cha habari. Vinginevyo unaweza kuwachanganya wadau wakajua kua mwafrika anakufa kwa corona
Mtu kama chris brown, rihana, willsmith nk hao wengi wao wana genes za uzungu na ndo kinacho wakostisha
Sio kweli African Americans wengi ni masihara na wasiojali maelekezo wanayopewa, yaan wengi walikataa shule ni vilaza
Na wanavyosema Africa Americans ina include biracial Kama Joe Cole na wengineo
Huenda kuna ukweli kwa ulichoandika hapa.Eti wana wastani wa maisha mafupi kuliko weupe
Bora waseme ukweli wamewakandamiza kwa miaka yote bila maisha bora
Sent from my iPhone using Tapatalk