Wamasai Ngorongoro: Spika ataka 'aliyechukua clip' ashughulikiwe, taasisi zilizosajiliwa nchini kufata

Wamasai Ngorongoro: Spika ataka 'aliyechukua clip' ashughulikiwe, taasisi zilizosajiliwa nchini kufata

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Leo Bungeni baada ya Waziri mkuu kuongelea video inayosambaa kwamba kuna mapigano yameanza Ngorongoro, Spika Tulia Ackson ametoa maoni yake na kutaka mhusika ashughulikiwe na taasisi zilizosajiliwa nchini zifate.

======

Spika: Tupo kwenye vita ya kiuchumi na nchi zingine, tukiwaacha hawa wakaendelea kutumika, wale waliopo hapa nchini sheria zetu zichukue mkondo wake.

Kama mtu anafanya upotoshaji kama huyo ambae amechukua hiyo clip na inajulikana ameichukulia wapi, tunaweza kuanza na huyo halafu wengine watafata ikiwa ni pamoja na hizi taasisi ambazo zimesajiliwa hapa nchini kwetu tukifikiri kwamba zina lengo jema na sisi hapa nchini lakini kama zinafanya jambo tofauti pia sheria zichukue mkondo wake.

Waziri mkuu mh Majaliwa amesema Loliondo na Ngorongoro kote hali ni shwari kabisa na hizo clip zinazoonekana mitandaoni wamasai wakirusha mishale siyo HALISI ni uzushi na usanii tu.

Kufuatia taarifa hiyo Spika Tulia amemwomba Waziri mkuu kuwashughulikia wahuni wote wanaorusha hizo clip

Source Star tv bungeni
 
Waziri mkuu mh Majaliwa amesema Loliondo na Ngorongoro kote hali ni shwari kabisa na hizo clip zinazoonekana mitandaoni wamasai wakirusha mishale siyo HALISI ni uzushi na usanii tu

Kufuatia taarifa hiyo Spika Tulia amemwomba Waziri mkuu kuwashughulikia wahuni wote wanaorusha hizo clip

Source Star tv bungeni
Huu ubabe wao hauna muda mrefu
 
Spika: Tupo kwenye vita ya kiuchumi na nchi zingine, tukiwaacha hawa wakaendelea kutumika, wale waliopo hapa nchini sheria zetu zichukue mkondo wake.

Kama mtu anafanya upotoshaji kama huyo ambae amechukua hiyo clip na inajulikana ameichukulia wapi, tunaweza kuanza na huyo halafu wengine watafata ikiwa ni pamoja na hizi taasisi ambazo zimesajiliwa hapa nchini kwetu tukifikiri kwamba zina lengo jema na sisi hapa nchini lakini kama zinafanya jambo tofauti pia sheria zichukue mkondo wake.
Spika ameongea kitu cha maana sana. watu kama Tito Magoti, Maria Sarungi, Ole Ngurumo na type zake zooote hizo, wanaichafua sana nchi na wanatamani hata Masai mmoja tu afe ili wapate cha kuongea. Wadhibitiwe mapema, sio afya kwa taifa.
 
Hata mimi nasimama na Wamasai, sio kwa ufisadi ule wa kuuziana vitalu, sijajua mkubwa gani ana 'interest' hapo?!, anyway sijajua kwa undani hili saga limeanzaje...
Wasomi wetu tuliowapa dhamana sina hakika kama uwezo wao wa kufikiri umekomea kuwapoka Wamasai makazi yao ili wapige hela.

Hii nchi ina rasilimali nyingi tumekosa tu ubunifu wa namna ya kufanya ili tuingize pesa pasipo kuleta migogoro kama hii.

#NasimamanaWamasai #RoyotuaInatosha
 
Back
Top Bottom