Wamasai Ngorongoro: Spika ataka 'aliyechukua clip' ashughulikiwe, taasisi zilizosajiliwa nchini kufata

Wamasai Ngorongoro: Spika ataka 'aliyechukua clip' ashughulikiwe, taasisi zilizosajiliwa nchini kufata

Kwa nini SSH anauzwa Kagera. Zamani nilisikia ikisemekana kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza.
Anavyochuuzwa SSH utafikiri wakazi wa Kagera hawajui raisi ni nani nahawasikilizi redio.
 
Leo Bungeni baada ya Waziri mkuu kuongelea video inayosambaa kwamba kuna mapigano yameanza Ngorongoro, Spika Tulia Ackoson ametoa maoni yake na kutaka mhusika ashughulikiwe na taasisi zilizosajiliwa nchini zifate.

======

Spika: Tupo kwenye vita ya kiuchumi na nchi zingine, tukiwaacha hawa wakaendelea kutumika, wale waliopo hapa nchini sheria zetu zichukue mkondo wake.

Kama mtu anafanya upotoshaji kama huyo ambae amechukua hiyo clip na inajulikana ameichukulia wapi, tunaweza kuanza na huyo halafu wengine watafata ikiwa ni pamoja na hizi taasisi ambazo zimesajiliwa hapa nchini kwetu tukifikiri kwamba zina lengo jema na sisi hapa nchini lakini kama zinafanya jambo tofauti pia sheria zichukue mkondo wake.

View attachment 2256084
Makapi ya mwendazake yanasumbua Nchi
 
Waarabu wamejipatia jinga lao la kulipelekesha
 
Safi sana tuna spika msomi na anayekwanda sambamba na maendeleo ya nchi yake, Maria aitwe apewe onyo maana anakoelekea ni kubaya.
 
Spika wa hovyo kabisa, huyu alitengenezwa na dikteta mpuuzi mkubwa
Dikteta unamuonea tu!

Malaika wako alikuwa na nafasi ya kumtoa pale ila kamrudisha kitini!

Na hata hivyo mama anafungua nchi,

Anawakomesha mataga na sukuma gang na kufuta legacy

Ana tufuta machozi sisi machadema baada y kuonewa sana kwa miaka 5
JamiiForums2000526143.jpg
 
Back
Top Bottom