Wamasai Ngorongoro: Spika ataka 'aliyechukua clip' ashughulikiwe, taasisi zilizosajiliwa nchini kufata

Tena wasichelewe,wa
Tena wasichelewe,wanataka kumchafua Nchi na amani hao wazushi.
 
Tuwe makini tusije tukazusha vurugu nchini, tukakosa pakukaa.
 

NASIKIA MNASEMA HAKUNA TATIZO HUKU WAMEJIKUSANYA ILI IONEKANE KUNA TATIZO ? AISEE TUNAMMISS SANA MAGUFULI ILA KUNA SIKU MTAKAA 18
 
Haya ndiyo matatizo ya kutokupiga wenyewe kwa wenyewe (civil war) kuheshimiana na adabu havipo
Ikipigwa bunduki mtaani kwako unakuwa wa kwanza kujificha chini ya uvungu wa kitanda lakini ukija hapa mikwara mingi.
 
Huyu bado ana akili zile zile za awamu iliyomuokota jalalani, anataka uhuru wa habari uzimwe na watu waanze kutiwa kwenye viroba kama walivyofanya wao.

Ni mawazo duni sana !
Wewe pimbi utaimba wimbo awamu ya tano kwa ujinga wa awamu ya sita! Hutaki kumkosoa huyo mvaa ushungi unaihusisha awamu ya tano! Mkosoe tu maana unajifanya chawa wake huku ukificha matendo yake mabaya!
 
Mwendazake mtamsingizia hata waume zenu wakishindwa kusimamisha!

Huyo mamaenu alikuwa na nafasi ya kumuweka spika wake ila akampa tena huyo huyo sasa sijui mwendazake anaingiaje hapa
Hata mama Ni masalia tu ! Kuna masalia Nchi nzima yaani jiwe katusababishia shida kubwa nchi hii,
Angalau Mungu aliamua ugomvi....
 
 
Kama serikali imethibitisha kuwa hili swala la ngorongoro sio la kweli. Kwanini mods wanaendelea kuziachia hizi thread mfululizo zinazoichafua serikali bila uthibitisho wowote? Mods mnatakiwa mjitafakari, na mjiridhishe kwanza kabla ya kuruhusu mtu kuweka uzi wake hapa jukwaani. Mmekuwa mkituchunguza sana sisi tusiokuwa upande wenu, lakini wale wa upande wenu hata mtu akiandika thread 30 za utopolo mtaziacha ziendelee kuchafua hali ya hewa humu ndani bila kuchukua hatua yoyote. Jukwaa limekosa haki kabisa kwa kuingiliwa na wanasiasa uchwara.
 
Nyie ndio wahuni wenyewe.Kinachotokea huko haukioni?Chawa mkubwa ww.
 
Kwa hiyo Waziri Mkuu akisema ndiyo uthibitisho. Huyu huyu aliyetudanganya mara 100!!? Waseme ukweli na waje na solutions siyo propaganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…