Pre GE2025 Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lakini hata mtume (SAW) anayeabudiwa na samia, asingelikubali hiki anachokifanya Samia ngorongoro! Ajue anamkufuru Mtume wake. Huwezi kuwafukuza watu kwenye asili zao kuwapa marafiki zako waarabu.

Watanganyika tusikubali hili. kesho itakuwa zamu ya Musoma, keshokutwa Kagera, next next uvuma and the story will go on endlessly until we are all finished!
 
Acha nikae kimya, familia bado inanitegemea
Ni kweli familia inakutegemea, Usiwaaangushe. Wasije wakajikuta hawana sehemu ya kuishi au wakaishi nje na asili yao kama wakimbizi.
 
Hili ni doa kwenye utawala huu sijui nani anashauri haya kufanyika.
 
Kumbe hana akili sasa! Kama alitonywa kuwa maadui zake ni Wavaa jezi za kijani wenzake, kwanini anapambana na Wapinzani namna ile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…