Pre GE2025 Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kura kwa Tanzania haziamui mshindi wa urais.

Vyombo vya dola na maafisa vipenyo wa NEC ndio wanampitisha rais.
 
Baada ya uchaguzi 2025 muutabidi muache kulialia na Zenj, mana Mama atawekwe madarakani na watananganyika wenzenu tu.
 
Sote tunajua wamasai wa huko ngorongoro wanafadhiliwa na kuchochewa na baadhi ya watanzania wenzetu kwa kushirikiana na wazungu . Sasa naomba serikali kwa kuwa najui ina Mkono mrefu kuwabaini na kuwadhibiti mara Moja watu wote wanaochochea na kufadhili maandamano ya wamasai huko kwenye Hifadhi ya ngorongoro. Hata Mh. Ruto amemkamata Jimmy Wanjigi kwa kufadhili maandamano ya GenZ huko Kenya.
 
Wacha uwongo dogo, unawaona Wamasai ni vilaza kiasi kuwa hawazijui haki zao hadi washikiwe akili na wazungu? Wacha dharau kwa Wamasai wewe.
 
Uvumilivu wa unyanyasaji kwa binadamu huwa una tabia ya kufika mwisho na kuamua lolote. Naamini wahusika watawasikiliza kabla hali haijakuwa tata zaidi.
 
Binafsi naona mkoa wa Lindi ndio unafaa wapewe Wamasai kwani kuna pori kubwa halitumiki hivyo litafaa kwa Mifugo

Ikumbukwe Wenyeji wa Lindi ni Wamachinga na Wengi wao wamehamia Mbagala mkoani DSM

Kwa sababu Wafugaji tunawataka na Hifadhi ya Ngorongoro tunaitaka ni vema Wamasai wapelekwe Lindi Ili tupate Win - Win situation

Ahsanteni Sana 😂

Kwako Lucas
 
hakuna tena watu wanaoishi ndani ya hifadhi ya Taifa ya ngorongoro,

waliokua wakiishi ndani ya eneo hilo, kwa hiyari yao wamehamia msomera mkoani Tanga...

hazirusiwi tena shughuli za kibinadamu ndani ya eneo muhimu la hifadhi, na kwa kufanya hivyo ni kuvunja sheria na yeyote atakaejaribu kuingia kwenye eneo hilo tengefu atashughikiwa kwa mujibu wa sheria bila mbambamba yoyote 🐒
 
Wapelekwe Lindi
 
Sawa sawa msemaji wa serikali na wa mama samia na ikulu

Ova
 
sihusiki katika hilo,

na tahadhali sana,
Rais wetu na kipenzi cha waTanzania Dr. Samia Suluhu Hassan aachwe achape kazi ya kuwaletea wananchi maendeleo na asihusishwe kwenye hii siasa kidogo kidogo nyepesi 🐒
 
Back
Top Bottom