mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Ule ni uchafuziUna amini kuna uchaguzi? Ile formula ya Nape unaisahau? Angekuwa anasema uongo hangefukuzwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule ni uchafuziUna amini kuna uchaguzi? Ile formula ya Nape unaisahau? Angekuwa anasema uongo hangefukuzwa.
Nape alikiuka kiapo cha kilingeniNape alihukumiwa kwa kutoa siri
Wacha uwongo dogo, unawaona Wamasai ni vilaza kiasi kuwa hawazijui haki zao hadi washikiwe akili na wazungu? Wacha dharau kwa Wamasai wewe.Sote tunajua wamasai wa huko ngorongoro wanafadhiliwa na kuchochewa na baadhi ya watanzania wenzetu kwa kushirikiana na wazungu . Sasa naomba serikali kwa kuwa najui ina Mkono mrefu kuwabaini na kuwadhibiti mara Moja watu wote wanaochochea na kufadhili maandamano ya wamasai huko kwenye Hifadhi ya ngorongoro. Hata Mh. Ruto amemkamata Jimmy Wanjigi kwa kufadhili maandamano ya GenZ huko Kenya.
Kule Handeni siyo sahihi wapelekwe Lindi 🐼Acha ujinga unafahamu madhara yanayotokea morogoro na kusini kote ni matokeo kama hayo.
hakuna tena watu wanaoishi ndani ya hifadhi ya Taifa ya ngorongoro,Binafsi naona mkoa wa Lindi ndio unafaa wapewe Wamasai kwani kuna pori kubwa halitumiki hivyo litafaa kwa Mifugo
Ikumbukwe Wenyeji wa Lindi ni Wamachinga na Wengi wao wamehamia Mbagala mkoani DSM
Kwa sababu Wafugaji tunawataka na Hifadhi ya Ngorongoro tunaitaka ni vema Wamasai wapelekwe Lindi Ili tupate Win - Win situation
Ahsanteni Sana 😂
Kwako Lucas
Wapelekwe Lindihakuna tena watu wanaoishi ndani ya hifadhi ya Taifa ya ngorongoro,
waliokua wakiishi ndani ya eneo hilo, kwa hiyari yao wamehamia msomera mkoani Tanga...
hazirusiwi tena shughuli za kibinadamu ndani ya eneo muhimu la hifadhi, na kwa kufanya hivyo ni kuvunja sheria na yeyote atakaejaribu kuingia kwenye eneo hilo tengefu atashughikiwa kwa mujibu wa sheria bila mbambamba yoyote 🐒
msomera pamewatosha wote na wanajiandaa na uchaguzi wa serikali za mitaa 🐒Wapelekwe Lindi
Sawa sawa msemaji wa serikali na wa mama samia na ikuluhakuna tena watu wanaoishi ndani ya hifadhi ya Taifa ya ngorongoro,
waliokua wakiishi ndani ya eneo hilo, kwa hiyari yao wamehamia msomera mkoani Tanga...
hazirusiwi tena shughuli za kibinadamu ndani ya eneo muhimu la hifadhi, na kwa kufanya hivyo ni kuvunja sheria na yeyote atakaejaribu kuingia kwenye eneo hilo tengefu atashughikiwa kwa mujibu wa sheria bila mbambamba yoyote 🐒
Na sahv mnataka wapeleka sehemu za tembo hukomsomera pamewatosha wote na wanajiandaa na uchaguzi wa serikali za mitaa 🐒
sihusiki katika hilo,Sawa sawa msemaji wa serikali na wa mama samia na ikulu
Ova
sifahamu na nadhani hapatakua na jambo kama hilo Tanzania 🐒Na sahv mnataka wapeleka sehemu za tembo huko
Vp mradi umeanza
Ova