Pre GE2025 Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Elimu, elimu, elimu.

Angekuwa na elimu ya maana asingeingizwa chaka kijinga.
 
Sidhani kama thread za namna hii zinaweza kuzuia asiendelee 2025!
Tutaishia kupiga zumari weeeee kwa vijihoja vya kudandiadandia lkn mwisho wa siku Samia is there up to 2030 kama mambo hayatoharibika sana
 
Salama yake ni FOMU 1.
Vinginevyo hata akisimama na JOGOO,atashindwa kura na JOGOO.
Nasikia Kuna STASH la Kibabe kwa ajili ya "wajumbe".
Wengine wameshaanza Ujenzi,Finishing watafanya JAMBO likikamilika 2025.
Bado ni probability,kwa sababu huyu Madam Boss nae MAFIA.
Ref;Kufutwa uchaguzi zenjbar.
Yeye ndiye aliyempelekea Jecha mzigo wake mkono kwa mkono!

Soci;jamaa yangu Dereva anamuendesha Waziri mmoja mstaafu.Asiyetaka kustaafu.
 
Katika hili Mama asipotumia busara ya hali ya juu hachomoi.
Ngorongoro iimemchafulia sana kisiasa.
 
Yote yanasahihishika.
Mama asife oyo.
 
Samia tunae, labda mambo yaharibike Sana in jk voice
Na unajua kabisa alichoaaminisha ni hilo neno tuyaharibu kabisa. Ndio maana anajipanga upya sababu amezungukwa na watu wenye ajenda za kutaka makundi yao ndio wawe na madaraka makubwa.
Kina siye tunaangalia na kushangaa tu
 
Wewe ni rais Samia ?!!!

Kwa hiyo wewe Rais Samia unatuambia kuwa unamuabudu mtume ?!!

Mtume huyo wa dini gani ?!!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Aliyesababisha yote haya ni JOHN POMBE MAGUFULI,tukatae tukubali,......yeye ndio aliyemteua kua mgombea mwenza akijua fika akifariki ndio atamrithi na washabiki wa JPM,mukawa munashangilia kama MAZUZU
 
Aliyesababisha yote haya ni JOHN POMBE MAGUFULI,tukatae tukubali,......yeye ndio aliyemteua kua mgombea mwenza akijua fika akifariki ndio atamrithi na washabiki wa JPM,mukawa munashangilia kama MAZUZU
CCM hakuna mtu mmoja mwenye mamlaka ya kuteua mgombea. Achana na zile mbwembwe za kuonyesha media eti mgombea mwenza ateuliwe na mtu mmoja.. Kama ingekua hivyo tusingekua na vikao vya kamati kuu na halmashauri kuu.
 
Wamasai wana haki ya kuishi kwa amani katika "nchi" yao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…