Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama asipotumia busara ya hali ya juu hachomoi.Kizimkazi chukua tahadhari kubwa. CCM hasa wa bara wallikua wanatafuta doa la kukuharibia kuelekea uchaguzi wa 2024 na 2025 sasa washakujaza. Wanayokwambia mezani baadae wanaenda kucheka chooni. Yanni wanasema wamekujaza na ukajaa mazima
Kazi iendeleee
Yote yanasahihishika.Hata sakata la majuzi la Awadh kuwapa kipigo cha shalubela viongozi waandamizi wa Chadema na wanachama wao kutekwa na kupotezwa katika zoezi la kuwazuia kwenda Mbeya ilikuwa mpango mkakati wa kufifisha zile 4Rs zake alizokuwa anatamba nazo. Hadi 2025 mambo yatakuwa yameharibika sana kama ambavyo aliwa kusema JK kuwa mgombea wa CCM 2025 ni Samia labda hapa katikati mambo yaharibike sana, watu wameshapata password ya kuyaharibu sana na bado yataharibika mengi tu.
Na unajua kabisa alichoaaminisha ni hilo neno tuyaharibu kabisa. Ndio maana anajipanga upya sababu amezungukwa na watu wenye ajenda za kutaka makundi yao ndio wawe na madaraka makubwa.Samia tunae, labda mambo yaharibike Sana in jk voice
Hakuna cha mtego...Inakuwaje mtu anakuwa raisi wa nchi halafu mitego kama hii midogo anaishindwa kuijua.
Wewe ni rais Samia ?!!!Lakini hata mtume (SAW) anayeabudiwa na samia, asingelikubali hiki anachokifanya Samia ngorongoro! Ajue anamkufuru Mtume wake. Huwezi kuwafukuza watu kwenye asili zao kuwapa marafiki zako waarabu.
Watanganyika tusikubali hili. kesho itakuwa zamu ya Musoma, keshokutwa Kagera, next next uvuma and the story will go on endlessly until we are all finished!
NAKU BLOCK MAANA HAKUNA LA MAANA KUSOMA TOKA KWAKOWewe ni rais Samia ?!!!
Kwa hiyo wewe Rais Samia unatuambia kuwa unamuabudu mtume ?!!
Mtume huyo wa dini gani ?!!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Aliyesababisha yote haya ni JOHN POMBE MAGUFULI,tukatae tukubali,......yeye ndio aliyemteua kua mgombea mwenza akijua fika akifariki ndio atamrithi na washabiki wa JPM,mukawa munashangilia kama MAZUZUKizimkazi chukua tahadhari kubwa. CCM hasa wa bara wallikua wanatafuta doa la kukuharibia kuelekea uchaguzi wa 2024 na 2025 sasa washakujaza. Wanayokwambia mezani baadae wanaenda kucheka chooni. Yanni wanasema wamekujaza na ukajaa mazima
Kazi iendeleee
Watazitapika fedha walizokula kwenye matundu yote! Cha mwarabu hakiendi bure.Na hajui afanyeje, Hela za watu kishakula
CCM hakuna mtu mmoja mwenye mamlaka ya kuteua mgombea. Achana na zile mbwembwe za kuonyesha media eti mgombea mwenza ateuliwe na mtu mmoja.. Kama ingekua hivyo tusingekua na vikao vya kamati kuu na halmashauri kuu.Aliyesababisha yote haya ni JOHN POMBE MAGUFULI,tukatae tukubali,......yeye ndio aliyemteua kua mgombea mwenza akijua fika akifariki ndio atamrithi na washabiki wa JPM,mukawa munashangilia kama MAZUZU
Natamani kuongea ila nikikumbuka kuwa ni single mother na mwanangu hana yeyote wa kumwegemea naamua kufunga domo languHakika hili la Ngorongoro,ni DOA KUBWA kwenye utawala huu wa Awamu ya 6!
Wamasai wana haki ya kuishi kwa amani katika "nchi" yao!Hii nchi Viongozi wa sasa hawana uchungu na hili Taifa na wako kwa ajili ya kuuza nchi kwa Wageni hasa Waraabu.
Pia soma: Wamasai wa Ngorongoro watoa tamko kunyang'anywa haki ya kupiga kura 2024 na 2025
Wamasai wamechoka Aridhi yao kupewa Mwarabu.
Waarabu kwa sasa wananeemeka na Ngorongoro huku wenyeji wakiteseka.
Samia hataki hata wamasai wapige kura kwa sasa na hili ni agizo la Mwarabu ndie anaye endesha Ngongongoro.Pale ni Arabus Republic of Ngorongoro.
Huwezi amini hii ni Bongo, Viongozi wasio kuwa na uchungu na hili Taifa wanauza nchi kama njugumawe.
Tatizo hawa wamasai nao ni waoga sana ni Bora wafe wakiwa wamesimama kuliko kuishi wakiwa wamepiga magoti.
Dah MWarabu kaamua, na ni yeye anaye amrisha Serikali isipeleke huduma kwa raia walio bakia Ngorongoro. Mwarabu ndie anaye amrisha.Mwarabu ni shida sana
Sisi Wabongo wengine tuendelee kuchekelea yanayo wapata wamasai wa Ngorongoro but ni swala ka muda tu, huyu Mama atauza kila mahali katika nchi hii.
Hakika halipingiki hili.Hakika hili la Ngorongoro,ni DOA KUBWA kwenye utawala huu wa Awamu ya 6!