Wamasai wa Ngorongoro wanaopelekwa Handeni hawataweza ku-survive pale

Kwani wao wanavyopeana zawadi za magari na kujengeana majumba hali ya kuwa uwezo wanao, je wao ni special sana kuliko wengine?
Shangaa na wewe ! All people are equal but some are much more equal than others !! Hivyo ndivyo wanavyojiaminisha wao kwa wao !!
 
Mkuu SOVIET UNION , be optimistic na sio pessimistic, wata adapt na watasurvive.
P
 
Watazoea tu
 
Wamasai wangechagua wenyewe wapi pa kuhamia na sio kujaguliwa mahali pa kwenda na mislamu wa mchongo,msema uhongo msikitini
 
Umekaa chini ukaanza kuandika akili yako ilvyokutuma, pumba tupu, pumbaf
 
Baada ya Extinction ya Wahadzabe ambao wamebaki 150 watakaofuatia ni Massai.
Wahadzabe mkuu ni foragers! Maasai ni pastoralist!. This two things you need to speculate them more and well. Natural increase of population and decrease is a bigger discusion.

Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20220617_160256_cn.wps.moffice_eng.jpg
    238.8 KB · Views: 4
Dah kwa hio mmasai akatafute fursa za kilimo?
 
Wamasai wa Monduli au Simanjiro wanaweza Survive vyema Handeni ila sio hawa wa Ngorongoro.
Acha kuwadharau wamasai wa Ngorongoro, hata wao wanaweza kujishughulisha na kilimo pamoja na ufugaji.
 
Dunia inabadilika mambo ya kila mtu kulima lima yashapita na wakat mtu mmoja kaz yake kulima wwngine wafanye biashara
 
Kwa hiyo unataka wamasai waishi bila kufanya kazi?

Jamii ngapi zinahudumiwa kwa kiwango hicho nchini?

Acha waende huko na tuone kama watashindwa.

Hizi zingine Porojo tupu.
 
Kuwapeleka Handeni waanze kujitegemea na either waanze kulima ni kuwaumiza hawa watu, hawataweza survive kule kamqwe, Kuna wajinga wanaona zile nyumba za tofali kama ndo msaada mkubwa sana kwao
Hata wakati walipoachiwa huru watumwa, wazungu wengi walisema wasingeweza kusurvive kwa vile walizoea kupewa kila kitu bure kwa mabwana zao.

Mimi nina uhakika wana akili timamu na wanazo nguvu za kutosha kuweza kuhimili mabadiliko.
 
Mbona wengi tu wamevuka bahari na wanaishi Zanzibar, wamewezaje?
 
Baada ya Extinction ya Wahadzabe ambao wamebaki 150 watakaofuatia ni Massai.
Wahadzabe kibao waliishaacha maisha-pori na kujichanganya na watanzania wengine mijini na vijijini! ... hao 150 ni die-hards wa mila za zama za mawe, japo hata wao sasa hivi wanatumia teknolojia na bidhaa za karne ya 21 kama watu wengine!
... EXTINCTION NI OVERSTATEMENT!
 
Mbona wengi tu wamevuka bahari na wanaishi Zanzibar, wamewezaje?

Tofautisha hiari na kulazimishwa, hata wewe sasa hivi familia yako ikiamishwa kwa nguvu kutoka kwenye eneo waliloishi mababu zako kwa vizazi sidhani kama ungefurahia, au ?
 
Na hawa jamaa hawawezi kuongezeka Kwa kasi kama watu wengine kiasi cha kudistab maeneo wanayoishi. Pia ni rahisi kupungua sabab kwao watoto na wazee ni makundi ya watu wa sio na thamani. Idadi ya wahadzabe inasababishwa na hili la tamaduni zao na mitazamo Kwa mtoto kufa, kwao sio shida na haiwashuhulishi kabisa. Sasa hapo ikitoa na idadi ya wanaolew na makabila mengine au kuhama maisha ya usasa.

Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…