Wamasai wa Ngorongoro wanaopelekwa Handeni hawataweza ku-survive pale

Wamasai wa Ngorongoro wanaopelekwa Handeni hawataweza ku-survive pale

Mjomba wa Oman anamiliki siku nyingi sana
Karibu mjomba
JamiiForums-1657250643.jpg
 
Na hawa jamaa hawawezi kuongezeka Kwa kasi kama watu wengine kiasi cha kudistab maeneo wanayoishi. Pia ni rahisi kupungua sabab kwao watoto na wazee ni makundi ya watu wa sio na thamani. Idadi ya wahadzabe inasababishwa na hili la tamaduni zao na mitazamo Kwa mtoto kufa, kwao sio shida na haiwashuhulishi kabisa. Sasa hapo ikitoa na idadi ya wanaolew na makabila mengine au kuhama maisha ya usasa.

Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
Aliyesema 'extinction' alitakiwa aongeze meno moja iwe 'cultural extinction' ambayo inatukumba wengi (Duniani) huku tukiifurahia kwa kuichukulia kama maendeleo(kweli/si kweli ... kila mtu apime!)!
 
Aliyesema 'extinction' alitakiwa aongeze meno moja iwe 'cultural extinction' ambayo inatukumba wengi (Duniani) huku tukiifurahia kwa kuichukulia kama maendeleo(kweli/si kweli ... kila mtu spine!)!
Atajuaje haya mkuu wakati ni taaluma za watu. Tatizo wenye hizi hawapew nafasi wajibu maswali kama haya. Nashangaa wanasiasa kwao ni hoja zenye mashiko hizi 🤣
 
Safi sana hii,tena wangewapeleka mikoa ya Dodoma,Singida,Tabora au Shinyanga wakaache na kufuga.

Huko kulishwa bure ndiyo kumewafanya kutokuheshimu mazao yakiwa shambani na ndiyo chanzo cha migogoro yote ya "Wamasai na wakulima".

Hakuna mgogoro wa wakulima na wafugaji nchi hii.
 
Back
Top Bottom