Wamasai wa Ngorongoro wanaopelekwa Handeni hawataweza ku-survive pale

Aliyesema 'extinction' alitakiwa aongeze meno moja iwe 'cultural extinction' ambayo inatukumba wengi (Duniani) huku tukiifurahia kwa kuichukulia kama maendeleo(kweli/si kweli ... kila mtu apime!)!
 
Aliyesema 'extinction' alitakiwa aongeze meno moja iwe 'cultural extinction' ambayo inatukumba wengi (Duniani) huku tukiifurahia kwa kuichukulia kama maendeleo(kweli/si kweli ... kila mtu spine!)!
Atajuaje haya mkuu wakati ni taaluma za watu. Tatizo wenye hizi hawapew nafasi wajibu maswali kama haya. Nashangaa wanasiasa kwao ni hoja zenye mashiko hizi 🤣
 
Safi sana hii,tena wangewapeleka mikoa ya Dodoma,Singida,Tabora au Shinyanga wakaache na kufuga.

Huko kulishwa bure ndiyo kumewafanya kutokuheshimu mazao yakiwa shambani na ndiyo chanzo cha migogoro yote ya "Wamasai na wakulima".

Hakuna mgogoro wa wakulima na wafugaji nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…