Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Nini kifanyike??ili ngorongoro ilindwe(kama serikali imavyosema) na wamasai wawe huru na makazi Yao?? Win-win situation..njia gani nzuri itumike???....usipuuze wanachotaka serikali,na usipuuze wanachotaka wamasai..wote Wana hojaArdhi ni ya nani?
Tunakodisha kwa nani?
Kuhama kwa kuridhia ni sawa, lakini kukataa kuhamishwa kama ng'ombe ni akili. Wanachofanya Wamasai ni kuutetea utu wao.
Kwa sababu watawala wameshindwa kutumia akili kukabiliana na changamoto husika wanakimbilia kutumia maguvu, jambo ambalo halipaswi kuwepo katika karne hii.