Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Nini kifanyike??ili ngorongoro ilindwe(kama serikali imavyosema) na wamasai wawe huru na makazi Yao?? Win-win situation..njia gani nzuri itumike???....usipuuze wanachotaka serikali,na usipuuze wanachotaka wamasai..wote Wana hojaArdhi ni ya nani?
Tunakodisha kwa nani?
Kuhama kwa kuridhia ni sawa, lakini kukataa kuhamishwa kama ng'ombe ni akili. Wanachofanya Wamasai ni kuutetea utu wao.
Kwa sababu watawala wameshindwa kutumia akili kukabiliana na changamoto husika wanakimbilia kutumia maguvu, jambo ambalo halipaswi kuwepo katika karne hii.
Unaji - contradict mwenyewe na CCM yako..wewe payuka ukimaliza nakwambia wanapewa huduma bure wale wanaoishi ngorongoro, nimeshafika mara kadhaa, sijui kama wewe mwenzangu umewahi kufika
Dawa ni kuikataa CCM, mama arudi kwao KIZIMKAZI.Hawa wamasai mnaowafukuza Ngorongoro wamewakosea nini aisee ?
Suala la Wazaramo na kesi ya Wamasai ni vitu viwili tofauti.
1. Wazaramo waliyauza maeneo yao kwa sababu walipenda kufanya hivyo. Walifanya hivyo kwa kuwa waliohitaji fedha za kufanyia kile walichoamini ni bora kwao
2. Wamasai hawahitaji wala hawataki kuiuza ardhi yao kwa sababu yoyote ile. Wapo tayari kuinunua ilibidi, ingawa ni yao kihalali hata kabla ya Uhuru wa Tanganyika. Na cha kusikitisha, anayetaka kuwahamisha ...
Basi tu!