johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Inapelekwa jeshi kule ukitaka kusikia wamasai wameuwawa Kama kuku wajifanye wanaleta Vita ya kinjekitile watafurahi maaaanina.Mi nachokifanya ni kula pop corn tu! Nasubiria nione kile kiburi cha polis ccm watakavyoenda kuchezea ile mikwaju ya ki Morani😅
Iv ushajiuliz kwann uwa wanaishi na chui simba ila awadhuliwInapelekwa jeshi kule ukitaka kusikia wamasai wameuwawa Kama kuku wajifanye wanaleta Vita ya kinjekitile watafurahi maaaanina.
Acha utoto wewe unahisi kila mtu hapa ana umri wako? Kwamba wao ndio watashinda risasi kwa Ile mikuki kisa wanaishi na Simba kwanza hawaishi na simba ni kwamba Simba ndio anaishi na Masai baada ya Masai kujisoheza kwenye himaya ya Simba.Iv ushajiuliz kwann uwa wanaishi na chui simba ila awadhuliw
Well said.Ni jambo la muda tu kabla sheria haijabadilishwa. Kama hawataondoka kwa hiari...
Ngoja tuone.Ni jambo la muda tu kabla sheria haijabadilishwa. Kama hawataondoka kwa hiari...
Good hawa mafisadi walilipwa pesa ndefu kwenda kuwasumbua wa masai kwa maslahi yao binafsiWamasai waishio kwenye vijiji vya hifadhini Ngorongoro wamesema kamwe hawatahama kwani Ngorongoro ni mafiga matatu ya Wenyeji, Hifadhi na Watalii na ukiondoa figa moja Ngorongoro inakufa. Wamedai wao wanaishi vijiji vya hifadhini kwa mujibu wa sheria. Source: Star tv!
Point snNawasapoti Wamasai, ila wapunguze Mifugo yao.
Ni nature mkuuIv ushajiuliz kwann uwa wanaishi na chui simba ila awadhuliw
Wamasai ni sehemu ya utalii, sasa utawaondoaje?Kama wanaishi Kwa sheria, wataondolewa pia Kwa sheria
Ulikuwepo wanavyolipwa?Good hawa mafisadi walilipwa pesa ndefu kwenda kuwasumbua wa masai kwa maslahi yao binafsi
wana hela cash kutoka mifukoni mwao za kuwatoa Dar-Ngorongoro?Ulikuwepo wanavyolipwa?
Waziri mkuu Muongo Muongo ndugu Khasimu kasema wanabakiKwa Ile level ambapo suala lao limefika kujadiliwa bungeni, pamoja nasapoti waondoke pia nasema wasitegemee Kuna mbunge wa CCM atawatetea.
Yani watalalamika tu Ila when it comes to implementation ya maamuzi wabunge wa CCM huwa wamoja na kumbuka hili ni bunge la chama kimoja.
Wamasai wanaupoteza muda wajadili fidia yao maana wataondolewa na hakina wa kuwatetea bungeni, at least kungekuwa na mawazo mbadala Ila kwa CCM wahesabu wameumia wakae na kujadili fidia ya ardhi wanakohamia waangalie kukoje in terms of huduma za kijamii Ila sio hii kukaa kubisha unreasonably.