Wamasai wadai hawaondoki Ngorongoro kwa sababu wanalindwa na UTATU wa kikatiba yaani Wenyeji - Hifadhi - Utalii

Wamasai wadai hawaondoki Ngorongoro kwa sababu wanalindwa na UTATU wa kikatiba yaani Wenyeji - Hifadhi - Utalii

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wamasai waishio kwenye vijiji vya hifadhini Ngorongoro wamesema kamwe hawatahama kwani Ngorongoro ni mafiga matatu ya Wenyeji, Hifadhi na Watalii na ukiondoa figa moja Ngorongoro inakufa.

Wamedai wao wanaishi vijiji vya hifadhini kwa mujibu wa sheria.

===
Wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza wabunge kuelimishwa kuhusu Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, Jamii ya wafugaji wanaoishi kwenye bonde hilo wamesema wataendelea kuishi kwa kufuata sheria na kanuni za uanzishwaji wa mamlaka hiyo na si vinginevyo.

Source: Star tv!

Kwa Ile level ambapo suala lao limefika kujadiliwa bungeni, pamoja nasapoti waondoke pia nasema wasitegemee Kuna mbunge wa CCM atawatetea.

Yani watalalamika tu Ila when it comes to implementation ya maamuzi wabunge wa CCM huwa wamoja na kumbuka hili ni bunge la chama kimoja.

Wamasai wanaupoteza muda wajadili fidia yao maana wataondolewa na hakina wa kuwatetea bungeni, at least kungekuwa na mawazo mbadala Ila kwa CCM wahesabu wameumia wakae na kujadili fidia ya ardhi wanakohamia waangalie kukoje in terms of huduma za kijamii Ila sio hii kukaa kubisha unreasonably.
 
Iv ushajiuliz kwann uwa wanaishi na chui simba ila awadhuliw
Acha utoto wewe unahisi kila mtu hapa ana umri wako? Kwamba wao ndio watashinda risasi kwa Ile mikuki kisa wanaishi na Simba kwanza hawaishi na simba ni kwamba Simba ndio anaishi na Masai baada ya Masai kujisoheza kwenye himaya ya Simba.

Simba hapendi nyama ya binadamu sababu Ina chumvi na ng'ombe pia hapendi labda Simba mzee ambaye ametengwa na wenzie anakuwa hana nguvu ya kuwinda ndio husogea kwenye makazi ya binadamu avamie mbwa, mbuzi au binadamu wenyewe Ila Simba na chui hana muda na binadamu.

Pia Simba akiwa na watoto na akiwa na njaa anaweza kuvamia group ya ng'ombe na hii inatokea sana hapo ngorongoro sio kwamba haya matukio hayapo sema ndio maana nasema sio Masai ndio anaishi na Simba Ila ni Simba ndio huamua kuishi na Masai kwa maana anakaa mbali nao sababu anaona pale chakula kipo Cha kutosha Ila akikosa menu atakula ng'ombe hata watano in case ukatokea group ya Simba dume watupu.
 
Wamasai waishio kwenye vijiji vya hifadhini Ngorongoro wamesema kamwe hawatahama kwani Ngorongoro ni mafiga matatu ya Wenyeji, Hifadhi na Watalii na ukiondoa figa moja Ngorongoro inakufa. Wamedai wao wanaishi vijiji vya hifadhini kwa mujibu wa sheria. Source: Star tv!
Good hawa mafisadi walilipwa pesa ndefu kwenda kuwasumbua wa masai kwa maslahi yao binafsi
 
Watachapwa ngoja wajionee,kinachofanyika hapo ni good faith kuokoa hifadhi ambayo ni mali ya umma pia for public interests.
 
Kwa Ile level ambapo suala lao limefika kujadiliwa bungeni, pamoja nasapoti waondoke pia nasema wasitegemee Kuna mbunge wa CCM atawatetea.

Yani watalalamika tu Ila when it comes to implementation ya maamuzi wabunge wa CCM huwa wamoja na kumbuka hili ni bunge la chama kimoja.

Wamasai wanaupoteza muda wajadili fidia yao maana wataondolewa na hakina wa kuwatetea bungeni, at least kungekuwa na mawazo mbadala Ila kwa CCM wahesabu wameumia wakae na kujadili fidia ya ardhi wanakohamia waangalie kukoje in terms of huduma za kijamii Ila sio hii kukaa kubisha unreasonably.
Waziri mkuu Muongo Muongo ndugu Khasimu kasema wanabaki
 
Jamii ya wafugaji waoga sana bunduki,hata mtoto apige baruti karibu yao wote watasambaana,mnaiita masailand hamjui kama ardhi yote mali ya Rais wa JMT, kumradhi mama TULIA
 
Back
Top Bottom