Wamasai wanakwenda kuua misaada ya UN na EU kwa Tanzania; Ngorongoro imetugeuka vibaya

Basi Lissu abarikiwe sanaaa.
 
Kama ni hivyo tundu lissu ana akili kuliko wewe na hiyo serikali yako.ayo ya uhasimu utajua nwenyewe kwasababu ata kama ingekua ni mzungu kapewa hilo eneo alafu masai wafukuzwe bado watu wenye akili timamu wangepiga kelele.Yeyote aneyeunga mkono haki ipatikane yuko sahihi.Sasa wewe endelea kuwaza kiupande upande wakati viongoz wako wanagawa rasilimali za nchi kiholela holela uku wakitumia mabavu kuonea wananchi.
 
Der Anwalt Joseph Moses Oleshangay aus Tansania erhielt am Sonntagabend den Menschenrechtspreis der Stadt Weimar. Er setzt sich für die Rechte der Massai in Afrika ein.
IN ENGLISH :

Weimar Human Rights Prize goes to lawyer from Tanzania​

10. December 2023, 7:17 p.m.

The lawyer Joseph Moses Oleshangay from Tanzania received the human rights award from the city of Weimar on Sunday evening. He campaigns for the rights of the Maasai in Africa.

Photo: Joseph Moses Oleshangay

Current news from Mitteldeutscher Rundfunk can be found at any time at mdr.de and in the MDR Aktuell app .
Joseph Moses Oleshangay from Tanzania received the Weimar Human Rights Prize on Sunday evening. According to the city, Oleshangay advocates for the rights of the Maasai in his homeland and fights against their forced relocation by the government.

The winner receives 5,000 euros​

Because of his commitment, the lawyer has suffered reprisals and has already survived an assassination attempt, it is said.
Oleshangay beat seven other nominees for the human rights award. In the end, the city council voted for him as the award winner.


The winner received this trophy from the Weimar artist Walter Sachs.Photo rights: MDR THÜRINGEN
The prize is endowed with 5,000 euros and was awarded on Human Rights Day. The winner also received a trophy from the Weimar artist and Weimar Prize winner Walter Sachs.
Oleshangay said at the award ceremony in the ballroom of the Prince's House of the University of Music that the award meant a lot to him and to the people who fight for their common cause. He feels honored.

Weimar awards prize for Nazi crimes​

The human rights prize is awarded at a ceremony in Weimar. The patron of the prize is the journalist Gundula Gause.
The city of Weimar has been awarding the prize since 1995 as a symbol of its special responsibility after the crimes of National Socialism. Between 1937 and 1945, the Nazis imprisoned around 280,000 people from Europe in the Buchenwald concentration camp near Weimar. Around 56,000 prisoners were murdered, died of disease, hunger or forced labor.
 
Jamaa unapenda sana ligi..umeamua kutoka hadi nje ya mada..
 
Nchi za Ulaya zinaongozwa na ma-Rais ambao ni mashoga na zimebariki ndoa za jinsia moja. Hazina audacity ya kutuamulia Waafrika hususan Watanzania tunaojitambua. Ya kwao yanawashinda mpaka wanaume kwa wanaume wanaoana, sembuse watuamulie ya kwetu!! No way

Hatuwezi kuamuliwa na Bunge la wase_nge
 
Umejibi Nini Sasa? Ni halali kuwaondoa Wamaasai?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tutahamishia bakuli kwa wajomba
Wajomba ni makatili wakubwa. Hawatoi misaada yenye kueleweka. Hata nchi za ''wenzao kwenye dini'' zinapokuwa na shida kubwa wao wanakaa kimya. Anachojua ni ufahari wa kununua ma-ferari na kuchukuwa wanawake wa bei ghali.
 
Kwa hiyo kwako ni sawa tu Mmasai mwenye sime na mkuki akiondolewa kwenye ardhi yake kisha kupewa Mwarabu mwenye bunduki na risasi???

Kwako nyumnbu ana dhamani kubwa kuliko Binadamu mwenzako??

Tuachane na hayo, Mtu ana wake zake 5 na kila mwanamke ana nyumba yake pamoja na watoto wake. Unamhamisha na kwenda kumpa nyumba moja yenye vyumba viwili eti akaishi yeye na wake zake pamoja na watoto wake wasiopungua 20. Hapo utu wake utakuwa wapi?? Wazungu wameliona hilo na wakalifanyia kazi wewe unaleta mambo yako ya Uzungu na Uarabu.
 
Kumbe anapewa mwarabu? Mbona hapo hapo unajichanganya na kusema ni kulinda utalii?
 
Kama nchi bado ina vijana wenye mawazo kama ya mtoa Mada itatuchukua sana muda kupata maendeleo.

Poor Kid
 

kama taarifa tunazopata kwa vyombo vya habari namna zoezi linavyofanyika ni sahihi, basi tunakwenda kushinda hiyo kesi. Namaanisha kwa taarifa tunazopata huku ni kuwa; Wamaasai wanaelimishwa na wale walio tayari kuhama, ndio wanahama na wale ambao hawapo tayari kuhama wanabaki. Sasa kama hao waliokwenda huko Ulaya ni wale wasiokuwa tayari kuhama, au pengine wale wamasai waliopo huko mijini; Tatizo liko wapi?
 
Uchawa ukipitiliza unakuwa ni upimbi, yale mapigano yaliyokuwa yakifanywa ilikuwa ni kuelimishwa huko??
 
Misaada ya wazungu ni utumwa.

Wao wanataka watu waishi na wanyama mpaka lini?

Tena safi sana, missada ya nini? Kwani sisi ni masikini kiasi cha kupewa misaada, tena tukate wenyewe misaada yote. Wawasaidie raia zao wanoomba omba njiani kwanza.
 
Tutahamishia bakuli kwa wajomba
wajombazzke mungu wenu, wenyewed voijana wa Hamas wanawaendesha huko hawajuwi wafanye nini.

Wapelekeni Wamasai wakawasaidie huko, si mmoja wao kaenda na maji, anaitwa Mollel?
 
Wewe ni Mwarabu wa Buza kwa Mpalange
 
Kwa upande wangu sion sababu ya kuwatoa ila ttzo linakuja ni idadi yao inaongezeka siku ad siku mwisho wa sku wanamaliza maeneo

Ata ukienda mbugani wanyama wao wanapunguzana wao kwa wao ecosystem na wakat mwingne wanyama wakizidi polini hiwa kuna vibali utolewa kwaajiri ya uwindaji kuwapunguza wanyama

Sasa wamasai ni binaadam hawawezi kuuana wao kwa wao lakin pia huwez kutoa kibali cha kuwinda wamasai kutokana na sababu izo wamasai wanaongezeka sku ad sku na mifugo yao pia huongezeka mwisho wa sku uingilia maeneo ya wanyama
 
Kwa tunaowatetea wasai nazan wangetupa njia nzuri ya kukabiliana na ongezeko la masai na mifugo yao km wanaona kuhamishwa sio njia sahihi je ni njia gan serikal iitumie kucontrol idadi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…