Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Finn/Saami hadi leo maisha yao yanategemes mifugo ya reindeer ilhali nchi wanazoishi ni tajiri na zipo mbali sana kimaendeleo.Imefika muda wenzetu hawa Waasaai, na siye wasukuma na jamii za kifugaji, inabidi kubadilika na wakati.
Watu wanaisi karne ya 17 kwa kutembeza mifugo aporini na hata kwenye mashamba ya wakulima...
mkuu tuanze na wewe. unatunza ng'ombe wangapi kitaalamNaliangalia suala la Ngorongoro, Loliondo, Handeni na sasa huko Songea, Katavi na hata wale waliovurumishwa bonde la Ihefu kwa jicho tofauti...
Waulize hao waFinn anaofuga wanalisha mifugo yao hadi viungani mwa helsinki?Finn/Saami hadi leo maisha yao yakategemea mifugo ta reindeer ilhali nchi wanazoishi zipo mbali sana kimaendeleo.
Sina utaalam wa kutembeza mfugo toka nilipo hadi Bariadi!mkuu tuanze na wewe. unatunza ng'ombe wangapi kitaalam
Loliondo na Ngorongoro yapo viungani mwa Daresalame? Halafu utakuta na wewe una ving’ombe vyako viwili vitatu unaviachia tu mtaani kila siku ndani ya Dar kuchafua mazingira. Huna hoja wewe.Waulize hao waFinn anaofuga wanalisha mifugo yao hadi viungani mwa helsinki?
Soma mada uielewe kwanza.Loliondo na Ngorongoro yapo viungani mwa Daresalame? Halafu utakuta na wewe una ving’ombe vyaki viwili vitatu unaviachia tu mtaani kila siku ndani ya Dar.
usifananishe Finn na Ngorongoro,wenzetu kwenye ufugaji wa kisasa na sisi ni kama mbigu na ardhi,ni kama kufananisha ufugaji wa kimasai na ufugaji wanaofanya ASAS ,wamasai wanafunga ng'ombe kama wanafuga mbwa za kienyeji vile,dunia imebadilika na wao wabadilike tunakoenda hata mapori yataisha.Loliondo na Ngorongoro yapo viungani mwa Daresalame? Halafu utakuta na wewe una ving’ombe vyako viwili vitatu unaviachia tu mtaani kila siku ndani ya Dar kuchafua mazingira. Huna hoja wewe.
Wamasai na Saami wote ni jamii za wafugaji kiasilia, na wanatumia maeneo makubwa ya malisho kwa mifugo yao.usifananishe Finn na Ngorongoro,wenzetu kwenye ufugaji wa kisasa na sisi ni kama mbigu na ardhi,ni kama kufananisha ufugaji wa kimasai na ufugaji wanaofanya ASAS ,wamasai wanafunga ng'ombe kama nwanafuga mbwa za kienyeji vile,dunia imebadilika na wao wabadilike tunakoenda hata mapori yataisha.
Mkuu kuna wanaoabudu wazungu na kufikiri kila kitu ni cha kuiga.usifananishe Finn na Ngorongoro,wenzetu kwenye ufugaji wa kisasa na sisi ni kama mbigu na ardhi,ni kama kufananisha ufugaji wa kimasai na ufugaji wanaofanya ASAS ,wamasai wanafunga ng'ombe kama wanafuga mbwa za kienyeji vile,dunia imebadilika na wao wabadilike tunakoenda hata mapori yataisha.
Jibu swali, wewe unafuga ng'ombe wangapi kitaalam? Hujaulizwa unatembeza wangapi.Sina utaalam wa kutembeza mfugo toka nilipo hadi Bariadi!
Kama huwezi elewa jibu even between the lines kwa nini uulize?Jibu swali, wewe unafuga ng'ombe wangapi kitaalam? Hujaulizwa unatembeza wangapi.
Kwani wamasai na wasukuma wanalisha hadi viungani mwa Dar-Es-Salaam?Waulize hao waFinn anaofuga wanalisha mifugo yao hadi viungani mwa helsinki?
Nenda Kerege ujioneeKwani wamasai na wasukuma wanalisha hadi viungani mwa Dar-Es-Salaam?
Kerege ndo viunga vya dar?Nenda Kerege ujionee