Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
wenye hoja kuhusu wamasai na wasukuma watakuambia ni kudumisha tamaduni na eti hata kwa wazungu ni kivutio ,kwenye tamaduni lazima kuna vitu vibadilike na vyenye manufaa kuachwa ,wamasai wakiendelea na ufugaji wao holela hata nature itabadilika na vyanzo vingi vya maji na mzingira kuharibika,zamani wafugaji walikuwa hawahami sana maana malisho yapo na maji yapo ,sasa hivi hamna malisho lazima wafugaji wawe na plan bMkuu kuna wanaoabudu wazungu na kufikiri kila kitu ni cha kuiga.