Wambea mpite hapa


Kwanini nasema ule ni mchina
1.ulivoumuka ulikua very sex and proportional.Kiuno kuntu, nya imesimama, hips inaeleweka.

2 .Ghafla, likaumuka zaidii na kuanza kutepeta na kushuka.

3.presence of Mabonde na vizingiti na hips kuwa nne tako kuota pembe na goti kuelemea.

4 wema ana historia ya kuabuse vipodozi mfano kujichubua mpaka kuwa mweupe zaidi ya albino, kuweka lens na miurembo ya macho mpaka macho kuwa kama uanavimba.
Nakubaliana Wema ni mzuri na anapendeza ila pale cosmetic maneuver imehusika.
 
Last edited by a moderator:
Yale ni mabonde na vigingi na vitobo...sipati picha akiwa mtupu anavovutia
Mzuri sana.
Pata picha umepata bahati hiyo maridhawa ya kuwa naye japo kwa masaa 3 tu.

Labda kupigia punyeto ila shepu hell no....kajala au uwoya ndio wameumbika
 

Hahahaaaa shost umenichekesha sanaa.
Lollll
 
Mbona kama huu ubuyu mtamu.....ebu utilie na pilipili mama ni enjoy

Mama yake sukariguru ya warembo wote hapa east africa, a.k.a kisu a.k.a serengeti boi wa Zarina, mla makombo ya Ivan...
Mamake, alikua ana kiserengeti boi chake kakifanya kama kihouseboi, sasa mateso yamezidi akaona isiwe tabu kazi kudeki na kutumikishwa tu.
Si akaenda kuo, sasa bibie kamtuma dada yake ambembelezee kijana arudi kwa mama.Sasa bidada akasema ataandamana kijana swalehe arudi, chezeya mahaba wewee...utaumwa ugonjwa hewaaa!
Sasa kijana akamrekodi bwanaaa
Haa, si wambeya wakaipata iyo voiceclip...ni sheeda Dinazarde, Kimbley, mzurimie
Mjue umbeya ni umbeya tu, mbona sioni kama mmeumung'unua huu au una pilipili nyingi??
 
Last edited by a moderator:

hhhhhaasssa hawaji hapa katuu...
wataishia kutuita mahetaz tuuuu
 
Last edited by a moderator:

Oooowww mwanamke umbea suna bibi...
Eeeenheee huyo swalehe ni yule ninaemjua mimi? Mmmmhh na pale alipokuwa anatapika kulikoni? Loooh kweli ng'ombe hazeeki maini
 
Last edited by a moderator:
Oooowww mwanamke umbea suna bibi...
Eeeenheee huyo swalehe ni yule ninaemjua mimi? Mmmmhh na pale alipokuwa anatapika kulikoni? Loooh kweli ng'ombe hazeeki maini

Yani huyo kijana alikua analelewa tuu, anakula pesa ya sukari guru, anapika na kupakua, anadeki na kufua.
Inshort alikua kama shambaboi wa familia.Alikua anaishi kwa bibie hapo.Na hapo biboe alikua anaumwa anapelekwa hospitali nakwambia.
Sukari ashawahi kuulizwa issue za kijana aligoma kuzungumza lolotee.Ila kijana ameteseka muda mrefu sana akaamua isiwe shida kama kujenga ashajenga na savings kibao anazo Akachapa lapa akaenda oa, sasa picha zikazagaa nasikia bibie ndie akapaniki wachaaaa
 
Loooooooooooooohhhh mahaba niue.
Nasikia alibeba mimba loh akatoa kukwepa aibu sasa sijui ni kweli...niliisoma mahali IG LOOOOHHH KAMA NI KWELI NI SIIIIIGIDAAAA
 
Loooooooooooooohhhh mahaba niue.
Nasikia alibeba mimba loh akatoa kukwepa aibu sasa sijui ni kweli...niliisoma mahali IG LOOOOHHH KAMA NI KWELI NI SIIIIIGIDAAAA

Mwenzangu sijuuui ila ndimu hapo zilimuhusu sio kwa kutapika kulee.
Kuhusu kazygote labd kweli labda uzushi ila hili swala ni hakika.
Coz shemeji kwa bibi alikua akiishi hapo kama bodyguard.
Ila amemchuna vya kutoshaa
 
Hahahahahaaa uwiiiiii! Nyie washenzi Ms.Lincoln na cute b nitawapiga fine ya kuvunja mbavu zangu mjue?
Wallah nimecheka hadi machozi...
Mbona huu ubuyu watu wanapita kimyakimya jamani? Kulikoni?
Halafu hilo la bibie kuwa na mimba nilihisi nikataka kusema basi tu nikapotezea.
Hilo linawezekana kabisa...kama mwanae asingekua star nadhani angemzalia mahabuba wake ila kakwepa aibu ya kubeba mimba pamoja na mkwe wake a.k.a kikongwe mwenzie..lol
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…