Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Hahahaaaaa... ujue Dinazarde ukisimamia ivyo vigezo vyako bado si sababu ya kuwa ule ni mchina. May be unaweza ukawa ni mchina ndio sikatai ila sio kwa vigezo unavyovitumia....
Watu wengi ni wanene na miguu ni hewa kabisa wapo sema surual zinawastiri.
Labla kama kuna vigezo vingine ila kwa kila kinacho happen kweny shep ya wema ni vya kawaida ata mtaani wapo watu wa ivyo
Kwanini nasema ule ni mchina
1.ulivoumuka ulikua very sex and proportional.Kiuno kuntu, nya imesimama, hips inaeleweka.
2 .Ghafla, likaumuka zaidii na kuanza kutepeta na kushuka.
3.presence of Mabonde na vizingiti na hips kuwa nne tako kuota pembe na goti kuelemea.
4 wema ana historia ya kuabuse vipodozi mfano kujichubua mpaka kuwa mweupe zaidi ya albino, kuweka lens na miurembo ya macho mpaka macho kuwa kama uanavimba.
Nakubaliana Wema ni mzuri na anapendeza ila pale cosmetic maneuver imehusika.
Last edited by a moderator: