Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Huku mtaani wanasema Baba yako ni Mrundi alisikika mlevi moja .....TAFAKARI!!!Wakazi wa kimaasai walilivamia hilo eneo la KRETA na kuwafukuza wakazi wake ambao ni WAMBULU na WADATOOGA.
Kadhia ya Ngorongoro haihitaji HISIA bali utulivu wa FIKRA TUNDUIZI....
Huo ni wakati wa Vita za Makabila ya kifugaji ya Bonde la Ufa.Wakazi wa kimaasai walilivamia hilo eneo la KRETA na kuwafukuza wakazi wake ambao ni WAMBULU na WADATOOGA
Nani kakumbia hilo?wenyewe hatujui hiyo historia yako.Wakazi wa kimaasai walilivamia hilo eneo la KRETA na kuwafukuza wakazi wake ambao ni WAMBULU na WADATOOGA.
Kadhia ya Ngorongoro haihitaji HISIA bali utulivu wa FIKRA TUNDUIZI...
Ndugu zetu wamaasai hawakuwa wa kwanza kuishi hapo katika ardhi tukufu ya nabii Adam(AS).
Makabila mengi yalipita hapo lakini kabila la mwisho kuishi Ngororongo linaitwa WATANZANIA...
Hapo ni kwa watanzania [emoji7]
#Tanzania kwanza[emoji7]
#JMT milele dumu[emoji7]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hakika mkuu...Ingebidi uite waandishi wa habari,uijuze umma kua kabila la mwisho kuishi Ngorongoro linaitwa WATANZANIA.
Hakika utakua umetisha sana,maana wengi wetu hatulijui kabila hilo.
Inategemea unaongelea kwa fikra ipi na kwa malengo gani.....Wambulu ni watu gani hao?, hakuna wambulu bali kuna Wairaqw. Kushindwa tu kujua hilo kabila kunakuondolea credit ya unachokisema hapa. Kausha tu Chifu.
Wenyewe akina nani ?!!Nani kakumbia hilo?wenyewe hatujui hiyo historia yako.
[emoji7]Huo ni wakati wa Vita za Makabila ya kifugaji ya Bonde la Ufa.
Asante mkuu[emoji7]Matahira hawataaisha Tanzania. Kisa CCM upo tayari kujikinai. Stupid.
Mtaani wapi mkuu wangu ?!!Huku mtaani wanasema Baba yako ni Mrundi alisikika mlevi moja .....TAFAKARI!!!
Typo mkuu wangu[emoji7]Kumbe ilikua ni Ngororongo kabla ya kuwa Ngorongoro. Historia Pana [emoji26]
Am I Muslim elite ?The hypocrisy of most Muslims elites and Mama's Parasites knows no bounds.
They would rather go all over the place and preach in their mosques against land grabbing of Palestine, yet they fail see a similar analogy happening here against the Maassai.
These people are a disgrace.
Kwamba ndio mtu aongee mambo yasiyopo?, hakuna hao watu ni hakuna tu.Inategemea unaongelea kwa fikra ipi na kwa malengo gani.....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Usiniwekee maneno mdomoni...umesikia ?!!Kwamba ndio mtu aongee mambo yasiyopo?, hakuna hao watu ni hakuna tu.