Wambulu na Wadatooga ndio wakazi wa mwanzo wa Ngororongo. Kadhia ya Ngorongoro haihitaji hisia

Wambulu na Wadatooga ndio wakazi wa mwanzo wa Ngororongo. Kadhia ya Ngorongoro haihitaji hisia

Mkunazi Njiwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2023
Posts
8,538
Reaction score
7,559
Wakazi wa kimaasai walilivamia hilo eneo la KRETA na kuwafukuza wakazi wake ambao ni WAMBULU na WADATOOGA.

Kadhia ya Ngorongoro haihitaji HISIA bali utulivu wa FIKRA TUNDUIZI.

Ndugu zetu wamaasai hawakuwa wa kwanza kuishi hapo katika ardhi tukufu ya nabii Adam(AS).

Makabila mengi yalipita hapo lakini kabila la mwisho kuishi Ngororongo linaitwa WATANZANIA...

Hapo ni kwa watanzania [emoji7]

#Tanzania kwanza[emoji7]

#JMT milele dumu[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ingebidi uite waandishi wa habari,uijuze umma kua kabila la mwisho kuishi Ngorongoro linaitwa WATANZANIA.
Hakika utakua umetisha sana,maana wengi wetu hatulijui kabila hilo.
 
Wakazi wa kimaasai walilivamia hilo eneo la KRETA na kuwafukuza wakazi wake ambao ni WAMBULU na WADATOOGA.

Kadhia ya Ngorongoro haihitaji HISIA bali utulivu wa FIKRA TUNDUIZI...

Ndugu zetu wamaasai hawakuwa wa kwanza kuishi hapo katika ardhi tukufu ya nabii Adam(AS).

Makabila mengi yalipita hapo lakini kabila la mwisho kuishi Ngororongo linaitwa WATANZANIA...

Hapo ni kwa watanzania [emoji7]

#Tanzania kwanza[emoji7]

#JMT milele dumu[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nani kakumbia hilo?wenyewe hatujui hiyo historia yako.
 
Ingebidi uite waandishi wa habari,uijuze umma kua kabila la mwisho kuishi Ngorongoro linaitwa WATANZANIA.
Hakika utakua umetisha sana,maana wengi wetu hatulijui kabila hilo.
Hakika mkuu...

Nasanya nguvu hapa ili niipige hiyo "PC".

#Tanzania Kwanza[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
The hypocrisy of most Muslims elites and Mama's Parasites knows no bounds.

They would rather go all over the place and preach in their mosques against land grabbing of Palestine, yet they fail see a similar analogy happening here against the Maassai.

Hata Wapalestina ambao mnawatetea kwamba wanaonewa pale Israel siyo kwao maana walivamia kinguvu chini ya Salahadeen. Tukifuata msingi wa hoja yako hii, kuuwawa kwa maelfu ya Wapalestina kule gaza ni jambo sahihi kwasababu siyo kwao.

You people are a disgrace.​
 
Dah inawezekana maana kama ilikiwa Ngororongo basi wamaasai waachwe tu kwao hapo Ngorongoro kisha wambulu na wadagota/barbaig warudishwe kwao Ngororongo.

Lakini nikupe ufahamu kidogo kuwa kama tuta jugde origin ya mtu kabla ya mipaka ya mkoloni basi hii nchi raia wake wengi ni wakimbizi inapaswa warudishwe makwao.

Unashindwa kujua kuwa jamii zamani zilihama eneo moja hadi jingine kwasababu za kijamii, kisiasa, kilimo na ufugaji, biashara n.k

Baada ya jamii nyingi kuwa centralized ndio zikatulia zilipokuwa sasa. Na hapo ndio nyumbani kwao.

Wamasai wamekuwepo hapo Ngorongoro zaidi ya miaka 200. Ni haki yao kuwepo hapo haijalishi kama waliwafukuza wambulu au wabarbaig kwakuwa makabila mengi ndio tulivyofanya duniani kote.

Kondoa hapo kuna Wasandawe ambao asili yao na ndugu zao wapo South Africa wanaitwa Khoisans(Xhosa).

Lete hoja yenye mashiko hii yako ni ujinga.
 
The hypocrisy of most Muslims elites and Mama's Parasites knows no bounds.

They would rather go all over the place and preach in their mosques against land grabbing of Palestine, yet they fail see a similar analogy happening here against the Maassai.

These people are a disgrace.​
Am I Muslim elite ?

No

Am I "mamas parasite"?!!

No

What I know is , humanity should be respected and reserved by any means necessary....Israel as a nation has a core rights to exist ,similar to Palestine.

There is an exquisite book "HISTORY OF ZIONISM" by an author NAHUM SOKOLOW ,I advocate you to peruze it.

This book has been opposed by every person who has hatred against Jews....

Personally ,I have neither bigotry nor racist thoughts against any human being[emoji7]

Kwa Ngorongoro ni jambo jengine mzee kwani hakuna fikra ya "MASS CLEANSING..."

Upo?!!

#Tanzania Kwanza[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom