Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ardhi ni mali ya dola bwashee...Wenye hati milki kisheria juu ya ardhi ya Ngorongoro ni maasai.
Usijitoe ufahamu.
BADO TUNAIHITAJI NGORONGORO? ndio liwe swali la kila mtu. ngorongoro ni ya kwetu, tunaweza kuamua kuiteketeza au kuihifadhi.Wakazi wa kimaasai walilivamia hilo eneo la KRETA na kuwafukuza wakazi wake ambao ni WAMBULU na WADATOOGA.
Kadhia ya Ngorongoro haihitaji HISIA bali utulivu wa FIKRA TUNDUIZI.
Ndugu zetu wamaasai hawakuwa wa kwanza kuishi hapo katika ardhi tukufu ya nabii Adam(AS).
Makabila mengi yalipita hapo lakini kabila la mwisho kuishi Ngororongo linaitwa WATANZANIA...
Hapo ni kwa watanzania [emoji7]
#Tanzania kwanza[emoji7]
#JMT milele dumu[emoji7]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ukweli mtupu...BADO TUNAIHITAJI NGORONGORO? ndio liwe swali la kila mtu. ngorongoro ni ya kwetu, tunaweza kuamua kuiteketeza au kuihifadhi.
wakati tunapata uhuru walikuwa 10,000 sasaivi wapo zaidi ya laki mbili (200,000) wanaishi na wanyama humohumo, hawana makaburi, na wakati mwingine vyoo ni shida. wafu wanawazika wapi au wanawapa fisi wale? wagonjwa wanatelekezwa kwa fisi n.k, au watuonyeshe makaburi yapo wapi?
wanaoa wake wengi sana wanazaa bila uzazi wa mpango, kufikia miaka 10 ijayo wataweza kufika 400,000 hivi tukiwa na akili timamu, bila ushabiki, hapo ngorongoro itakuwepo au tumeamua kuteketeza ngorongoro ili watu waishi? bado tunaihitaji ngorongoro? ndio liwe swali la kila mtu. kama jibu ni ndio, hatuwezi kukaa na wananchi zaidi ya laki ndani ya ngorongoro wakati mikoa mingine watu wameshafukuzwa kwenye mbuga. mtu anayekuja leo na kusema ile ni ardhi ya wamasai, hajui kama ardhi yote ni ya umma ipo chini ya rais? au kama vipi serikali itafute pesa, wawape fidia wawaondoshe tubaki na mbuga.;msomela wamejengewa na nyumba lakini bado tu hawataki,wanachotaka ni kuteketeza mbuga ya ngorongoro. huu ndio ukweli mchungu ambao wengi hawataki kuusema. hata hapa mimi nitatukanwa kwasababu tu ya kueleza hivi.
Ushahidi anao Lukuvi na Kabudi. Wameruhusu nini Tena!?Ushahidi unao?!!
Plz tuweke video tuifanyie analysis.....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sometimes jaribu kuficha upumbavu wako. Ni Uongo mkubwa kudai wanahamishwa kwa sababu za uhifadhi. Pale kinachofanyika ni kuwafukuza. Huyo anayejiita chura kiziwi wenu hajawahi kuwa na uchungu na uhifadhi, sio ajabu anataka madini yachimbwe huko mbugani kisa TU "wanyama hawali madini". Hapa wanataka kuwapa hao wawekezaji uchwara "waarabu". Hata Zenji ardhi ipo, waende huko wakagaiwe.BADO TUNAIHITAJI NGORONGORO? ndio liwe swali la kila mtu. ngorongoro ni ya kwetu, tunaweza kuamua kuiteketeza au kuihifadhi.
wakati tunapata uhuru walikuwa 10,000 sasaivi wapo zaidi ya laki mbili (200,000) wanaishi na wanyama humohumo, hawana makaburi, na wakati mwingine vyoo ni shida. wafu wanawazika wapi au wanawapa fisi wale? wagonjwa wanatelekezwa kwa fisi n.k, au watuonyeshe makaburi yapo wapi?
wanaoa wake wengi sana wanazaa bila uzazi wa mpango, kufikia miaka 10 ijayo wataweza kufika 400,000 hivi tukiwa na akili timamu, bila ushabiki, hapo ngorongoro itakuwepo au tumeamua kuteketeza ngorongoro ili watu waishi? bado tunaihitaji ngorongoro? ndio liwe swali la kila mtu. kama jibu ni ndio, hatuwezi kukaa na wananchi zaidi ya laki ndani ya ngorongoro wakati mikoa mingine watu wameshafukuzwa kwenye mbuga. mtu anayekuja leo na kusema ile ni ardhi ya wamasai, hajui kama ardhi yote ni ya umma ipo chini ya rais? au kama vipi serikali itafute pesa, wawape fidia wawaondoshe tubaki na mbuga.;msomela wamejengewa na nyumba lakini bado tu hawataki,wanachotaka ni kuteketeza mbuga ya ngorongoro. huu ndio ukweli mchungu ambao wengi hawataki kuusema. hata hapa mimi nitatukanwa kwasababu tu ya kueleza hivi.
Washwa tuu MakalioWakazi wa kimaasai walilivamia hilo eneo la KRETA na kuwafukuza wakazi wake ambao ni WAMBULU na WADATOOGA.
Kadhia ya Ngorongoro haihitaji HISIA bali utulivu wa FIKRA TUNDUIZI.
Ndugu zetu wamaasai hawakuwa wa kwanza kuishi hapo katika ardhi tukufu ya nabii Adam(AS).
Makabila mengi yalipita hapo lakini kabila la mwisho kuishi Ngororongo linaitwa WATANZANIA...
Hapo ni kwa watanzania [emoji7]
#Tanzania kwanza[emoji7]
#JMT milele dumu[emoji7]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Umeamua hivyo sawa mkuu....Washwa tuu Makalio
Tutakukunaa vizri
unataka ushaidi kabla ya kujibu swali, masai zaidi ya 200,000 wakati wa uhuru walikuwa 10,000 tu, in the coming 20 years watakuwa zaidi ya 500,000 binadamu wote hao wanaishi kwenye mbuga, unafikiri hiyo mbuga bado itaexist au wanyama watakimbia? ulishawahi kwenda kule ngorongoro ukaona wanyama wanalala kwenye maboma ya wamasai kama ng'ombe, wanaenda mbali huko hawataki kuchangamana. kama wakati wa uhuru walikuwa alfu kumi na sasaivi ni ile kombania yote ile, unataka ushaidi gani kwamba hawana uzazi wa mpango? hauwajui masai, hujui kama kuzaa sana kwao ndio mtaji kupata watoto wa kuchunga ng'ombe? kuweni wakweli hata kwa nafsi zenu tu basi.Mkuu, unaweza kutupa ushahidi kuwa Wamasai hao hawana uzazi wa mpango
Si Kweli,Ardhi ni mali ya dola bwashee...
Hapa si Kenya mzeya
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Umenipa somo kumbe ardhi ya Zanzibar ni mali ya wananchi akina Faki ,Makame na Mjaka [emoji1787]Si Kweli,
Mbona haendi Kugawa au kuuza visiwa vya Zanzibar?
Wakazi wa kimaasai walilivamia hilo eneo la KRETA na kuwafukuza wakazi wake ambao ni WAMBULU na WADATOOGA.
Kadhia ya Ngorongoro haihitaji HISIA bali utulivu wa FIKRA TUNDUIZI.
Ndugu zetu wamaasai hawakuwa wa kwanza kuishi hapo katika ardhi tukufu ya nabii Adam(AS).
Makabila mengi yalipita hapo lakini kabila la mwisho kuishi Ngororongo linaitwa WATANZANIA...
Hapo ni kwa watanzania [emoji7]
#Tanzania kwanza[emoji7]
#JMT milele dumu[emoji7]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tena wasiuze mpaka sehemu za kuzikia 🤣 🤣 🤣 🤣Si Kweli,
Mbona haendi Kugawa au kuuza visiwa vya Zanzibar?
Lipo... tupo...umekutana na huyo mmojawapo...mimi hapa[emoji7]
Sent from my TECNO F1 using
Inamaanisha nini?Wakazi wa kimaasai walilivamia hilo eneo la KRETA na kuwafukuza wakazi wake ambao ni WAMBULU na WADATOOGA.
Kadhia ya Ngorongoro haihitaji HISIA bali utulivu wa FIKRA TUNDUIZI.
Ndugu zetu wamaasai hawakuwa wa kwanza kuishi hapo katika ardhi tukufu ya nabii Adam(AS).
Makabila mengi yalipita hapo lakini kabila la mwisho kuishi Ngororongo linaitwa WATANZANIA...
Hapo ni kwa watanzania [emoji7]
#Tanzania kwanza[emoji7]
#JMT milele dumu[emoji7]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Asante kwa kutukumbusha Historia ya Ngorongoro. Ni Historia sahihi kabisa. Wambulu (Wairaqw) pia ndo waasisi wa kilimo cha kisasa cha umwagiliaji katika eneo la Kihistoria la Engaruka kabla ya uvamizi wa Wamasai na kuharibu jumla maendeleo makubwa ya engaruka yaliyofikiwa zama hizo za karne ya 14 hadi 16.Wakazi wa kimaasai walilivamia hilo eneo la KRETA na kuwafukuza wakazi wake ambao ni WAMBULU na WADATOOGA.
Kadhia ya Ngorongoro haihitaji HISIA bali utulivu wa FIKRA TUNDUIZI.
Ndugu zetu wamaasai hawakuwa wa kwanza kuishi hapo katika ardhi tukufu ya nabii Adam(AS).
Makabila mengi yalipita hapo lakini kabila la mwisho kuishi Ngororongo linaitwa WATANZANIA...
Hapo ni kwa watanzania [emoji7]
#Tanzania kwanza[emoji7]
#JMT milele dumu[emoji7]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Huna akili.nilivyoona tu "sent from my Tecno" baaasi nkaachana na wewe.
Rest in Peace!
Kuharibu au kutunza? Hata hivyo kuharibu inaweza kuwa relative term.Asante kwa kutukumbusha Historia ya Ngorongoro. Ni Historia sahihi kabisa. Wambulu (Wairaqw) pia ndo waasisi wa kilimo cha kisasa cha umwagiliaji katika eneo la Kihistoria la Engaruka kabla ya uvamizi wa Wamasai na kuharibu jumla maendeleo makubwa ya engaruka yaliyofikiwa zama hizo za karne ya 14 hadi 16.