Wambura Mtani aondoka RFA baada ya miaka 22

Mkuu naomba kuuliza Juma Baragaza na Kamukulu wamefariki lini Daaah!! Kweli dunia tunapita sikuwa na taarifa za Baragaza kuwa amefariki nina mda kidogo sijasikiliza Redio
Hata Samadu kakata moto
 
Mkuu umeandika kwa haraka sana. Ungesubiri kwanza ujue anakohamia utuoe habari kamili
 
Amenda wapi,na mbona R.I.P nyingi 🤔
 
Amenda wapi,na mbona R.I.P nyingi 🤔
 
Pale angevuna mabua, kampuni inaendeshwa kama kikao cha familia.

Kabaki Nyanda tu anaomboleza msiba wa Diallo kutapikwa na CCM. Na kile kichwa kikubwa kama siafu huwa anahisi anaweza kupambana na hali ya ndani (deep state) wakati anaishi kishiri huko kajamb-a nani.

Nililiona lile goma la Dia-Lo, kumbe limehamia uhai FM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…