Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Picha kuonesha akiondoka?Hata kapicha Mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha kuonesha akiondoka?Hata kapicha Mkuu?
Daah, a big lossLugha gongana anapochambua tamaduni za makabila mbalimbali ndiyo itakuwa noma zaidi
Picha kuonesha akiondoka?
Yah alifariki lakini hakuwa akifanya kazi clouds tenaHivi Fredwaa alikufaga!? Kuna kipindi niliwahi kumsikia clouds fm.
Mbona according to hando wakati akihoniwa na salama na yeye marehem na hando wana undugu alisema hakuwa akifanya kazi clouds ni kati ya waliopunguzwaWakati anatoka kazini clouds fm alipata ajali.Hakuomba Ho2.Alizikwa kwao Kilimanjaro
Hata Samadu kakata motoMkuu naomba kuuliza Juma Baragaza na Kamukulu wamefariki lini Daaah!! Kweli dunia tunapita sikuwa na taarifa za Baragaza kuwa amefariki nina mda kidogo sijasikiliza Redio
Jamaa kachanganya madesa, fredwaa anafariki kwa ajali ya gari alikuwa kashaachana na cloudsMbona according to hando wakati akihoniwa na salama na yeye marehem na hando wana undugu alisema hakuwa akifanya kazi clouds ni kati ya waliopunguzwa
Ndio MkuuPicha kuonesha akiondoka?
Mkuu umeandika kwa haraka sana. Ungesubiri kwanza ujue anakohamia utuoe habari kamiliNguli wa utangazaji kutoka kituo cha Radio Free Africa (RFA) Wambura Mtani ameondoka katika kituo hicho alicho hudumu kwa miaka 22.
Mtani ni mkongwe aliyekuwa amebaki kwenye Radio hiyo baada ya watangazaji wengine nguli kuondoka humo na wengine walifariki kama vile Jumaa Ahmed Baragaza (R.I.P) Zuberi Msabaha (R.I.P), Prince Baina Kamukulu (R.I.P), Fred Fidelis aka Fredwaa (R.I.P) ambaye baadae aliondoka.
Binafsi nitamkumbuka kwa mazuri yake hapo na akapambane kutafuta changamoto mpya.
Amenda wapi,na mbona R.I.P nyingi 🤔Nguli wa utangazaji kutoka kituo cha Radio Free Africa (RFA) Wambura Mtani ameondoka katika kituo hicho alicho hudumu kwa miaka 22.

Anga za kimataifaSamadu Hassan, mchambuzi bora kabisa wa habari za mbali. R.I.P
Pale angevuna mabua, kampuni inaendeshwa kama kikao cha familia.Nguli wa utangazaji kutoka kituo cha Radio Free Africa (RFA) Wambura Mtani ameondoka katika kituo hicho alicho hudumu kwa miaka 22.
Mtani ni mkongwe aliyekuwa amebaki kwenye Radio hiyo baada ya watangazaji wengine nguli kuondoka humo na wengine walifariki kama vile Jumaa Ahmed Baragaza (R.I.P) Zuberi Msabaha (R.I.P), Prince Baina Kamukulu (R.I.P), Fred Fidelis aka Fredwaa (R.I.P) ambaye baadae aliondoka.
Binafsi nitamkumbuka kwa mazuri yake hapo na akapambane kutafuta changamoto mpya.
Ameleta taarifa mbaya sana kwangu bora angezileta hata January hukoAmenda wapi,na mbona R.I.P nyingi 🤔
Mimi hii ni Radio yangu bora hata sasa..shida ni mawimbi yao tu hayako stable.Aisee....
RFA....ILIVUMA,...
Sio ndo wewe kweli...!!?Roy Mlaliki Maganga mzee wa Sitasahau jumapili sa 4 mpk sa 5 .Alienda wapi na mkewe Stela Setumbi
Mkuu embu ingia chimbo..🤣Mkuu umeandika kwa haraka sana. Ungesubiri kwanza ujue anakohamia utuoe habari kamili