Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,552
- 2,741
Hata kwenye burudani za maigizo walikuwa moto sana, tamthlia nyingi nzuri za miaka hiyo zilirushwa STARTV. Tamthlia kams THE PROMISE, IT MIGHT BE YOU, GROWING UP, MARIMAR, MARA CLARA na nyinginezo nyingi zilizobamba kwelikweli.Enzi hizo sio radio tu hata kwa tv (star tv)walikuwa vizur
BONGA NA STAR TV-sauda mwilima
ROVING DJ-Jacob usungu
ORIENTAL CUISINE -husna mlanzi
ASIAN FLAVOR -prince baina kamukulu
BORINGO TIME -zuberi musabaha volt 600000
Hapana, ni AzamNdo TBC au sio!?
Anakwenda Jambo FM Shinyanga, mtangazaji wa maana RFA kabaki Yusuph Magasha tu.Kila La Heri Police Wa Zamani, Bila Shaka Tutajua Abakwenda Wapi
Ok poa mkuuHapana, ni Azam
ana redio yake yuko mbeya ,inaitwa dream fmHuyo Tom Chilala sijui atakuwa wapi siku hizi, ukiangalia top cream ya wanahabari waliopo nchini kwasasa ni wengi sana wamepita hapo RFA.
Kipindi ambacho nilikuwa nakipenda sana na nilikiwa sikikosi, ni kile cha jioni kimaitwa MAMBOMAMBO[emoji91].
Be blessed Man.Wapenzi wa RFA Jiburudisheni na kionjo hiki maridhawa
View: https://youtu.be/KNubhJSc69g?si=GOSPNHbIbRwVhdnm
Huyu alifariki akiwa anaishi kwny ka chumba ka kupanga na sebule, alikua anamdai pesa nyingi tu diallo.Samadu Hassan, mchambuzi bora kabisa wa habari za mbali. R.I.P
Amefariki mwezi januari 2022.Ww acha utani. Lini hiyo ilikua na sababu za kifo..
Hapo aliye hai ni mmoja tu wa kwanza kwa list Sauda Mwilima.Enzi hizo sio radio tu hata kwa tv (star tv)walikuwa vizur
BONGA NA STAR TV-sauda mwilima
ROVING DJ-Jacob usungu
ORIENTAL CUISINE -husna mlanzi
ASIAN FLAVOR -prince baina kamukulu
BORINGO TIME -zuberi musabaha volt 600000
Hapo kwenye it might be you, growing up, kuna nyingine more than love kuna waigizaji waliitwa Lawrence na Cielo wakati tunasoma sekondari muda wa prep tulikuwa tunaweka madaftari pembeni kwanza tuangalie.Hata kwenye burudani za maigizo walikuwa moto sana, tamthlia nyingi nzuri za miaka hiyo zilirushwa STARTV. Tamthlia kams THE PROMISE, IT MIGHT BE YOU, GROWING UP, MARIMAR, MARA CLARA na nyinginezo nyingi zilizobamba kwelikweli.
Kwa Tz kulikuwa na FUTUHI (ambayo sikuhizi imekuwa hovyo sana) , VUNJA MBAVU na maigizo ya KAOLE GROUP zamani.
Kiufupi hawa jamaa hawakuwa na upinzani, licha ya kuwa walikuwa mbali na jiji la kibiashara (Dar).
Kiufupi, SAHARA MEDIA GROUP walikuwa mbali sana.Hapo kwenye it might be you, growing up, kuna nyingine more than love kuna waigizaji waliitwa Lawrence na Cielo wakati tunasoma sekondari muda wa prep tulikuwa tunaweka madaftari pembeni kwanza tuangalie.
Yes. Kulipa ni mbinde kwa jamaaAmelipwaaa anachodai? Maana boss wake ni zulumati mkubwa sana Africa.....atadai hadi atastaafu hajalipwa.....Hujawahi kusikia jamaa ana kesi kama zote.....halipiii akishindwa amesha declare kufilisika......halipi chochote daaa fiallo tapeliii....mkubwaa sanaa.....
Ni kweli na kuna yule alikuwa anaitwa fatma shemweta sijui siku hizi yuko wapiHapo aliye hai ni mmoja tu wa kwanza kwa list Sauda Mwilima.
Ni mjasiriamali ila sijui kama bado anatangaza.Ni kweli na kuna yule alikuwa anaitwa fatma shemweta sijui siku hizi yuko wapi