Wambura Mtani aondoka RFA baada ya miaka 22

Wambura Mtani aondoka RFA baada ya miaka 22

Enzi hizo sio radio tu hata kwa tv (star tv)walikuwa vizur
BONGA NA STAR TV-sauda mwilima
ROVING DJ-Jacob usungu
ORIENTAL CUISINE -husna mlanzi
ASIAN FLAVOR -prince baina kamukulu
BORINGO TIME -zuberi musabaha volt 600000
 
Hata kwenye burudani za maigizo walikuwa moto sana, tamthlia nyingi nzuri za miaka hiyo zilirushwa STARTV. Tamthlia kams THE PROMISE, IT MIGHT BE YOU, GROWING UP, MARIMAR, MARA CLARA na nyinginezo nyingi zilizobamba kwelikweli.

Kwa Tz kulikuwa na FUTUHI (ambayo sikuhizi imekuwa hovyo sana) , VUNJA MBAVU na maigizo ya KAOLE GROUP zamani.

Kiufupi hawa jamaa hawakuwa na upinzani, licha ya kuwa walikuwa mbali na jiji la kibiashara (Dar).
 
Huyo Tom Chilala sijui atakuwa wapi siku hizi, ukiangalia top cream ya wanahabari waliopo nchini kwasasa ni wengi sana wamepita hapo RFA.

Kipindi ambacho nilikuwa nakipenda sana na nilikiwa sikikosi, ni kile cha jioni kimaitwa MAMBOMAMBO[emoji91].
ana redio yake yuko mbeya ,inaitwa dream fm
 
Enzi hizo sio radio tu hata kwa tv (star tv)walikuwa vizur
BONGA NA STAR TV-sauda mwilima
ROVING DJ-Jacob usungu
ORIENTAL CUISINE -husna mlanzi
ASIAN FLAVOR -prince baina kamukulu
BORINGO TIME -zuberi musabaha volt 600000
Hapo aliye hai ni mmoja tu wa kwanza kwa list Sauda Mwilima.
 
Hata kwenye burudani za maigizo walikuwa moto sana, tamthlia nyingi nzuri za miaka hiyo zilirushwa STARTV. Tamthlia kams THE PROMISE, IT MIGHT BE YOU, GROWING UP, MARIMAR, MARA CLARA na nyinginezo nyingi zilizobamba kwelikweli.

Kwa Tz kulikuwa na FUTUHI (ambayo sikuhizi imekuwa hovyo sana) , VUNJA MBAVU na maigizo ya KAOLE GROUP zamani.

Kiufupi hawa jamaa hawakuwa na upinzani, licha ya kuwa walikuwa mbali na jiji la kibiashara (Dar).
Hapo kwenye it might be you, growing up, kuna nyingine more than love kuna waigizaji waliitwa Lawrence na Cielo wakati tunasoma sekondari muda wa prep tulikuwa tunaweka madaftari pembeni kwanza tuangalie.
 
Kiufupi, SAHARA MEDIA GROUP walikuwa mbali sana.
 
Amelipwaaa anachodai? Maana boss wake ni zulumati mkubwa sana Africa.....atadai hadi atastaafu hajalipwa.....Hujawahi kusikia jamaa ana kesi kama zote.....halipiii akishindwa amesha declare kufilisika......halipi chochote daaa fiallo tapeliii....mkubwaa sanaa.....
Yes. Kulipa ni mbinde kwa jamaa
 
Zuberi Msabaha alifariki?

Huyu si ndio yule mtangazaji alikuwa kama anaongea Kilingala akitafsiri nyimbo za Kicongo?

Hii redio sijaisikiliza siku nyingi sana...
Kitambo sana.
 
Back
Top Bottom