Wambura Mtani aondoka RFA baada ya miaka 22

Nguli wa utangazaji kutoka kituo cha Radio Free Africa (RFA) Wambura Mtani ameondoka katika kituo hicho alicho hudumu kwa miaka 22.

Mtani ni mkongwe aliyekuwa amebaki kwenye Radio hiyo baada ya watangazaji wengine nguli kuondoka humo na wengine walifariki kama vile Jumaa Ahmed Baragaza (R.I.P) Zuberi Msabaha (R.I.P), Prince Baina Kamukulu (R.I.P), Fred Fidelis aka Fredwaa (R.I.P) ambaye baadae aliondoka.

Binafsi nitamkumbuka kwa mazuri yake hapo na akapambane kutafuta changamoto mpya.
Amelipwaaa anachodai? Maana boss wake ni zulumati mkubwa sana Africa.....atadai hadi atastaafu hajalipwa.....Hujawahi kusikia jamaa ana kesi kama zote.....halipiii akishindwa amesha declare kufilisika......halipi chochote daaa fiallo tapeliii....mkubwaa sanaa.....
 
Nguli wa utangazaji kutoka kituo cha Radio Free Africa (RFA) Wambura Mtani ameondoka katika kituo hicho alicho hudumu kwa miaka 22.

Mtani ni mkongwe aliyekuwa amebaki kwenye Radio hiyo baada ya watangazaji wengine nguli kuondoka humo na wengine walifariki kama vile Jumaa Ahmed Baragaza (R.I.P) Zuberi Msabaha (R.I.P), Prince Baina Kamukulu (R.I.P), Fred Fidelis aka Fredwaa (R.I.P) ambaye baadae aliondoka.

Binafsi nitamkumbuka kwa mazuri yake hapo na akapambane kutafuta changamoto mpya.
Picha iko wapi?
 
Back
Top Bottom