Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Plz gentleman,Kwanini sijakublock mpaka Leo !!Wana Jf hili Bwabwa na shoga la Makonda !Ignore
i have nothing to do with your nonsense decisions within platform š
Plz gentleman,Kwanini sijakublock mpaka Leo !!Wana Jf hili Bwabwa na shoga la Makonda !Ignore
ok blabbermouth saint. šJizi
Suala la Nyerere na Ujamaa na la sasa hivi ni "contexts" mbili tofauti. Sijui kama unanielewa?Hata Nyerere alijiaminisha hivyo hivyo, kweli nchi ilienda huku watu wakivaa viraka, na kupanga foleni kupata bidhaa kama sukari, sabuni nk.
Kama ingekuwa tofauti tusingeona mwenge ukikimbizwa nchini hadi sasa, ama ccm wasingelazimisha kubaki na katiba iliyotungwa ya kumfanya rais Mungu mtu.Suala la Nyerere na Ujamaa na la sasa hivi ni "contexts" mbili tofauti. Sijui kama unanielewa?
Kila nchi duniani ina "TUNU" zake. Kwa Tanzania, Mwenge wa Uhuru ni mojawapo TUNU za Tanzania.Kama ingekuwa tofauti tusingeona mwenge ukikimbizwa nchini hadi sasa, ama ccm wasingelazimisha kubaki na katiba iliyotungwa ya kumfanya rais Mungu mtu.
Kawadanganye wa vijijini.Tanzania hii haitegemei mikopo ya IMF tu. Nchi hii utaenda na IMF au bila IMF.
Ok. Time will tell on who will bow down between Tanzania and IMF!Kawadanganye wa vijijini.
Walitaka kupitisha sheria ya serikali kukopa BOT bila masharti sijui walijishituka kitu gani.Labda sasa wajiandaage kuanza kukopa NMB na crdb
IMF iipigie magoti Tanzania are you joking?Ok. Time will tell on who will bow down between Tanzania and IMF!
Time always tells the truth. Why don't we wait?IMF iipigie magoti Tanzania are you joking?
Msemaji Kakiri Wazi Kuwa Maelekezo Ya Commonwealth Wameyapokea Na Wanafatekezahaina athari hiyo mipasho na misemo ya kwenye kanga na vitenge gentleman. Watanzania wanachapa kazi bila kubabaika na vitu useless kama hivyo![]()
so what gentleman?šMsemaji Kakiri Wazi Kuwa Maelekezo Ya Commonwealth Wameyapokea Na Wanafatekeza
UsitutisheThe world is watching you, Commonwealth is watching you, IMF is watching you, EU is watching you, US is watching you, and the ICC is watching you.
Nikutishe wewe kama nani.Usitutishe
Basi Mkuu yameishaNikutishe wewe kama nani.
Plus the UNZile tambo za, We are Sovereign State, na Who are You, zimeanza kupungua.
Hakuna cha kufanya tathimini wala nini, mwachieni Lissu na mruhusu demokrasia iongoze nchi.
But we warned you no any sovereign state is isolated in this world neither the United States, Russia, Iran nor China must comply with the order of the world, the masters.
Endeleeni kupandisha mabega, hamjiulizi kwanini IMF imepiga U-turn kwenye mkopo, wameambiwa Tanzania must first comply with the rule of law.
The world is watching you, Commonwealth is watching you, IMF is watching you, EU is watching you, US is watching you, and the ICC is watching you.
Tukutane tarehe 10/8/2026.
Sio huo mwenge unaopita kuwapa watu data za kupika, na kueneza woga ili majizi ya ccm yaendelee kukaa madarakani kwa shuruti. Watu wote wanaojitambua hawajishirikishi na huo ushirikina.Kila nchi duniani ina "TUNU" zake. Kwa Tanzania, Mwenge wa Uhuru ni mojawapo TUNU za Tanzania.
Nenda kagugu uone jinsi The Statue of Liberty inavyoheshimika Marekani. Na si ajabu ukaja na hoja ya kuwasifia Wamarekani kwasababu kwa Afrika hata anayejiona ana akili nae ni mjinga tu linapokuja suala la kuramba makalio ya wazungu!
LIsu haonewiZile tambo za, We are Sovereign State, na Who are You, zimeanza kupungua.
Hakuna cha kufanya tathimini wala nini, mwachieni Lissu na mruhusu demokrasia iongoze nchi.
But we warned you no any sovereign state is isolated in this world neither the United States, Russia, Iran nor China must comply with the order of the world, the masters.
Endeleeni kupandisha mabega, hamjiuliziā¹rā¹ kwanini IMF imepiga U-turn kwenye mkopo, wameambiwa Tanzania must first comply with the rule of law.
The world is watching you, Commonwealth is watching you, IMF is watching you, EU is watching you, US is watching you, and the ICC is watching you.
Tukutane tarehe 10/8/2026.