- Thread starter
- #41
Ushahidi huu wa video ulishakataliwa mahakamani tafuta mwingine upeleke.
Iyo tarehe ina niniZile tambo za, We are Sovereign State, na Who are You, zimeanza kupungua.
Hakuna cha kufanya tathimini wala nini, mwachieni Lissu na mruhusu demokrasia iongoze nchi.
But we warned you no any sovereign state is isolated in this world neither the United States, Russia, Iran nor China must comply with the order of the world, the masters.
Endeleeni kupandisha mabega, hamjiulizi kwanini IMF imepiga U-turn kwenye mkopo, wameambiwa Tanzania must first comply with the rule of law.
The world is watching you, Commonwealth is watching you, IMF is watching you, EU is watching you, US is watching you, and the ICC is watching you.
Tukutane tarehe 10/8/2026.
Kama Nyerere yalimshinda kuongoza nchi bila IMF leo mtawezaje? Tembo ( mabeberu) kajificha kwenye ukoka halafu mnajifanya hamumwoni siyo?Tanzania hii haitegemei mikopo ya IMF tu. Nchi hii utaenda na IMF au bila IMF.
Hela yako unaipata kwa tabu sana Bora hata ya MWIJAKU.this is pure nonsense gentleman![]()

ni vizuri kupata mali na pesa kwa kufanya kazi halali kwa bidii na maarifa,Hela yako unaipata kwa tabu sana Bora hata ya MWIJAKU.
Sawani vizuri kupata mali na pesa kwa kufanya kazi halali kwa bidii na maarifa,
na bila kuchoka wala kukata tamaa.
Na ukishaondokana na unyonge wa kiuchumi, unajikuta automatically huwezi kupata muda kua na mawazo useless kama hayo gentleman. Nadhani hiyo itapendeza zaidi 🐒
karibu gentleman 🐒Sawa
Zimbabwe, Cuba na Korea Kaskazini kutaja nchi zipo hadi leo bila IMF. Need I say more?Kama Nyerere yalimshinda kuongoza nchi bila IMF leo mtawezaje? Tembo ( mabeberu) kajificha kwenye ukoka halafu mnajifanya hamumwoni siyo?
Jifarijini tu kifala ila mtatafuta pa kujificha hawa raia wakiamua kuwaondoeni kwa nguvu!
Nilifikiri unaongelea "issues" kumbe unaongelea "hisia" zako. Hapo uko sahihi!🙏🙏🙏🙏Sio huo mwenge unaopita kuwapa watu data za kupika, na kueneza woga ili majizi ya ccm yaendelee kukaa madarakani kwa shuruti. Watu wote wanaojitambua hawajishirikishi na huo ushirikina.
Siku hizi haku IMF wala WB, hawana fedha baada ya Marekani kujitoa.Kama Nyerere yalimshinda kuongoza nchi bila IMF leo mtawezaje? Tembo ( mabeberu) kajificha kwenye ukoka halafu mnajifanya hamumwoni siyo?
Jifarijini tu kifala ila mtatafuta pa kujificha hawa raia wakiamua kuwaondoeni kwa nguvu!
TUmeshakataa mambo ya technicalities za kisheria kutumika kukwepa makosa. Ndiyo maana hawamuachii kamweUshahidi huu wa video ulishakataliwa mahakamani tafuta mwingine upeleke.
Umeshakataa wewe na nani.TUmeshakataa mambo ya technicalities za kisheria kutumika kukwepa makosa. Ndiyo maana hawamuachii kamwe
Katazame mikopo mingi ya hii nchi kwa hii miaka 10 iliyopita inatoka wapi, kisha uje hapa. Au unadhani tembo akikonda anakuwa kama mbuzi?Siku hizi haku IMF wala WB, hawana fedha baada ya Marekani kujitoa.
Futeni sheria kisha mtumie akili ya Samia na majizi wenzake.TUmeshakataa mambo ya technicalities za kisheria kutumika kukwepa makosa. Ndiyo maana hawamuachii kamwe
Maneno ya Pascal Mayalla yaliwapumbazaZile tambo za, We are Sovereign State, na Who are You, zimeanza kupungua.
Hakuna cha kufanya tathimini wala nini, mwachieni Lissu na mruhusu demokrasia iongoze nchi.
But we warned you no any sovereign state is isolated in this world neither the United States, Russia, Iran nor China must comply with the order of the world, the masters.
Endeleeni kupandisha mabega, hamjiulizi kwanini IMF imepiga U-turn kwenye mkopo, wameambiwa Tanzania must first comply with the rule of law.
The world is watching you, Commonwealth is watching you, IMF is watching you, EU is watching you, US is watching you, and the ICC is watching you.
Tukutane tarehe 10/8/2026.
Tathimini na chumi zao kwamba wapo rank gani na maisha ya wananchi wao yapoje? Na huu ulionao ni aina ya ugonjwa wa akili yaani maskini unashindana kumzidi maskini umaskini! Na kama nchi tajiri zinaendesha chumi zao kwa mikopo ya imf sisi ni nani tufurahie kutengwa?Zimbabwe, Cuba na Korea Kaskazini kutaja nchi zipo hadi leo bila IMF. Need I say more?
Issue hapo sio "rank" ya uchumi. Kwani maskini wa Marekani "rank" ya uchumi wa Marekani inamsaidiaje? Na mbona anaitwa maskini sasa!Tathimini na chumi zao kwamba wapo rank gani na maisha ya wananchi wao yapoje? Na huu ulionao ni aina ya ugonjwa wa akili yaani maskini unashindana kumzidi maskini umaskini! Na kama nchi tajiri zinaendesha chumi zao kwa mikopo ya imf sisi ni nani tufurahie kutengwa?