Wameanza kuwa wapole, 'tunafanya tathmini', mwachieni Lissu otherwise you face the consequences

Hata Nyerere alijiaminisha hivyo hivyo, kweli nchi ilienda huku watu wakivaa viraka, na kupanga foleni kupata bidhaa kama sukari, sabuni nk.
Suala la Nyerere na Ujamaa na la sasa hivi ni "contexts" mbili tofauti. Sijui kama unanielewa?
 
Suala la Nyerere na Ujamaa na la sasa hivi ni "contexts" mbili tofauti. Sijui kama unanielewa?
Kama ingekuwa tofauti tusingeona mwenge ukikimbizwa nchini hadi sasa, ama ccm wasingelazimisha kubaki na katiba iliyotungwa ya kumfanya rais Mungu mtu.
 
Kama ingekuwa tofauti tusingeona mwenge ukikimbizwa nchini hadi sasa, ama ccm wasingelazimisha kubaki na katiba iliyotungwa ya kumfanya rais Mungu mtu.
Kila nchi duniani ina "TUNU" zake. Kwa Tanzania, Mwenge wa Uhuru ni mojawapo TUNU za Tanzania.
Nenda kagugu uone jinsi The Statue of Liberty inavyoheshimika Marekani. Na si ajabu ukaja na hoja ya kuwasifia Wamarekani kwasababu kwa Afrika hata anayejiona ana akili nae ni mjinga tu linapokuja suala la kuramba makalio ya wazungu!
 
Plus the UN
 
Sio huo mwenge unaopita kuwapa watu data za kupika, na kueneza woga ili majizi ya ccm yaendelee kukaa madarakani kwa shuruti. Watu wote wanaojitambua hawajishirikishi na huo ushirikina.
 
LIsu haonewi

View: https://youtu.be/KkIZj15NurU?si=zN6x4rY-kxSb1w8X
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…