kujidanganya, kujifariji, kujipa matumaini hewa na kuilazimisha furaha ingawa moyoni una majonzi, ni unafiki na kitu mbaya sana gentleman 🐒Watoto wa mjini wana usemi wao unasema... Ukijua hivi.. Sisi tunajua vile..!
Ukijifanya unazijua sana shotikati za mjini.. Utaingizwa kwenye chocho refu ambalo linaishia chooni kwa mtu ama magetoni kwa masela! Hapo uamuzi ni wako kunyoa ama kusuka, kwakuwa yote mawili hayatawezekana kwa wakati mmoja
Ujuaji mwingi huishia kupigwa! Hill chocho walilomuingiza, aliyeingizwa choo cha city anasubiri.. Maana ni chocho baya lisilo na rivasi.. Lakini je wana plan B.. Maana huko walikomlengesha hachomoki! Hata kwa kudra za Maanani!
Kuna akili na kuna maarifa.. Lazima kwenye kila misheni hivi vyote viwili viwe applicable.. Ukitumia kimoja ukaacha kimoja umekwisha!
Wezi wengi wana akili ya kuiba lakini hawana maarifa ya kuishi na mali ya wizi.. Kesi study ya Justine Kasusura.. Pesa ina kelele japo haipendi kelele..
Nina hakika wamekuwa na akili ya kumwangushia jumba bovu lakini sina hakika kama kwa asilimia 100 wana plan B iliyonyooka! Isiyo na mauzauza
Je wapishi wakuu kwenye hili ni akina nani!? Vyovyote vile iwavyo hawa hawakosekani.. Mfalme wa rock n rolls😀 na chamdeko mwana mpendeka!
Mioyo ya watu ni kiza kinene.. Ukijua hivi wanajua vile..
Taswira za kinyongaView attachment 3324012
Amekusema wewe?mbona unajistukia sana wewe unaetetea maovu ndio unailazimisha furaha chawa mkubwa wewekujidanganya, kujifariji, kujipa matumaini hewa na kuilazimisha furaha ingawa moyoni una majonzi, ni unafiki na kitu mbaya sana gentleman 🐒
Gentleman,kujidanganya, kujifariji, kujipa matumaini hewa na kuilazimisha furaha ingawa moyoni una majonzi, ni unafiki na kitu mbaya sana gentleman 🐒
sijamsema yeyote kwasabb pia sikusemwa gentleman,Amekusema wewe?mbona unajistukia sana wewe unaetetea maovu ndio unailazimisha furaha chawa mkubwa wewe
Mkuu Mshana,plan B ya nini?,what for?,wakati,issue ya 2025 sisi tuliisha malizana nayo kitambo?tena ni mimi nimewatangazia watu humu!Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!Lakini je wana plan B..
Kuna akili na kuna maarifa.. Lazima kwenye kila misheni hivi vyote viwili viwe applicable.. Ukitumia kimoja ukaacha kimoja umekwisha!
But kuna ujumbe Happ Kwa MshanaMkuu Mshana,plan B ya nini。,what for?,wakati,issue ya 2025 sisi tuliisha malizana nayo kitambo?tena ni mimi nimewatangazia watu humu!Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!
P
Mkuu Mshana,plan B ya nini。,what for?,wakati,issue ya 2025 sisi tuliisha malizana nayo kitambo?tena ni mimi nimewatangazia watu humu!Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!
P
Watoto wa mjini wana usemi wao unasema... Ukijua hivi.. Sisi tunajua vile..!
Ukijifanya unazijua sana shotikati za mjini.. Utaingizwa kwenye chocho refu ambalo linaishia chooni kwa mtu ama magetoni kwa masela! Hapo uamuzi ni wako kunyoa ama kusuka, kwakuwa yote mawili hayatawezekana kwa wakati mmoja
Ujuaji mwingi huishia kupigwa! Hill chocho walilomuingiza, aliyeingizwa choo cha city anasubiri.. Maana ni chocho baya lisilo na rivasi.. Lakini je wana plan B.. Maana huko walikomlengesha hachomoki! Hata kwa kudra za Maanani!
Kuna akili na kuna maarifa.. Lazima kwenye kila misheni hivi vyote viwili viwe applicable.. Ukitumia kimoja ukaacha kimoja umekwisha!
Wezi wengi wana akili ya kuiba lakini hawana maarifa ya kuishi na mali ya wizi.. Kesi study ya Justine Kasusura.. Pesa ina kelele japo haipendi kelele..
Nina hakika wamekuwa na akili ya kumwangushia jumba bovu lakini sina hakika kama kwa asilimia 100 wana plan B iliyonyooka! Isiyo na mauzauza
Je wapishi wakuu kwenye hili ni akina nani!? Vyovyote vile iwavyo hawa hawakosekani.. Mfalme wa rock n rolls😀 na chamdeko mwana mpendeka!
Mioyo ya watu ni kiza kinene.. Ukijua hivi wanajua vile..
Taswira za kinyongaView attachment 3324012
Pass the joint pleaseShida ni kiburi,na kutopenda ushauri..uzuri ni kwamba shughuli ishaisha,hawataamini macho Yao! Kwishaaa✅
Hawa wazee wanawashwa washwa. Kwa umri wao ni wakati wa kucheza na wajukuu. Kwa umri wao Masuala waliyojiinga yatawaua kwa presha.
Sema Leo ni ibada ila nimekutukanaHawa wazee wanawashwa washwa. Kwa umri wao ni wakati wa kucheza na wajukuu. Kwa umri wao Masuala waliyojiinga yatawaua kwa presha.
Mwenyekiti wa sasa ni Lissu na sio mbowe mwaka huu hakuna kupanda dau, ni no reforms no electionsMkuu Mshana,plan B ya nini。,what for?,wakati,issue ya 2025 sisi tuliisha malizana nayo kitambo?tena ni mimi nimewatangazia watu humu!Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!
P
Watakuja kukumbuka maneno ya hawa wazee ikishakuwa too late
Fungueni baadhi ya code wenye vichwa vigumu tueleweWatoto wa mjini wana usemi wao unasema... Ukijua hivi.. Sisi tunajua vile..!
Ukijifanya unazijua sana shotikati za mjini.. Utaingizwa kwenye chocho refu ambalo linaishia chooni kwa mtu ama magetoni kwa masela! Hapo uamuzi ni wako kunyoa ama kusuka, kwakuwa yote mawili hayatawezekana kwa wakati mmoja
Ujuaji mwingi huishia kupigwa! Hill chocho walilomuingiza, aliyeingizwa choo cha city anasubiri.. Maana ni chocho baya lisilo na rivasi.. Lakini je wana plan B.. Maana huko walikomlengesha hachomoki! Hata kwa kudra za Maanani!
Kuna akili na kuna maarifa.. Lazima kwenye kila misheni hivi vyote viwili viwe applicable.. Ukitumia kimoja ukaacha kimoja umekwisha!
Wezi wengi wana akili ya kuiba lakini hawana maarifa ya kuishi na mali ya wizi.. Kesi study ya Justine Kasusura.. Pesa ina kelele japo haipendi kelele..
Nina hakika wamekuwa na akili ya kumwangushia jumba bovu lakini sina hakika kama kwa asilimia 100 wana plan B iliyonyooka! Isiyo na mauzauza
Je wapishi wakuu kwenye hili ni akina nani!? Vyovyote vile iwavyo hawa hawakosekani.. Mfalme wa rock n rolls[emoji3] na chamdeko mwana mpendeka!
Mioyo ya watu ni kiza kinene.. Ukijua hivi wanajua vile..
Taswira za kinyongaView attachment 3324012
Hawa wazee wanawashwa washwa. Kwa umri wao ni wakati wa kucheza na wajukuu. Kwa umri wao Masuala waliyojiinga yatawaua kwa presha.
Huyu mzee Mungu ambariki yeye na uzao wake.....hajawahi kuacha kusimamia ukweli na haki