Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Ubarikiwe sana. Mtu akiishakuwa na jinaIdiot oldman
La kishetani, EvilSpirit , unategemea nini ?!, nakuombea kwa Mungu pepo waovu wakutoke.
P
Ubarikiwe sana. Mtu akiishakuwa na jinaIdiot oldman
😆😆😆Watoto wa mjini wana usemi wao unasema... Ukijua hivi.. Sisi tunajua vile..!
Ukijifanya unazijua sana shotikati za mjini.. Utaingizwa kwenye chocho refu ambalo linaishia chooni kwa mtu ama magetoni kwa masela! Hapo uamuzi ni wako kunyoa ama kusuka, kwakuwa yote mawili hayatawezekana kwa wakati mmoja.
Ujuaji mwingi huishia kupigwa! Hill chocho walilomuingiza, aliyeingizwa choo cha city anasubiri.. Maana ni chocho baya lisilo na rivasi.. Lakini je wana plan B.. Maana huko walikomlengesha hachomoki! Hata kwa kudra za Maanani!
Kuna akili na kuna maarifa.. Lazima kwenye kila misheni hivi vyote viwili viwe applicable.. Ukitumia kimoja ukaacha kimoja umekwisha!
Wezi wengi wana akili ya kuiba lakini hawana maarifa ya kuishi na mali ya wizi.. Kesi study ya Justine Kasusura.. Pesa ina kelele japo haipendi kelele.
Nina hakika wamekuwa na akili ya kumwangushia jumba bovu lakini sina hakika kama kwa asilimia 100 wana plan B iliyonyooka! Isiyo na mauzauza
Je wapishi wakuu kwenye hili ni akina nani!? Vyovyote vile iwavyo hawa hawakosekani.. Mfalme wa rock n rolls😀 na chamdeko mwana mpendeka!
Mioyo ya watu ni kiza kinene.. Ukijua hivi wanajua vile..
Taswira za kinyongaView attachment 3324012
Kiongozi kwani huyu Ni Ke?Mwanamke wa DAR tayari umeshahisi kutajwa mama yenu.
Ukisoma vitabu vingi unaunganisha dots then unapata kile kamili kilichofichwa katika vipande vidogo vidogoNgoja nirudi kuusoma tena uzi wa Dark days 17th March, haiyumkini utanisaidia kufumbua codes za Mshana.
Sahihi. Ukisoma sana kuna wakati unakuwa umekaa, mara ramani kamili inaanza kujitengeneza kichwani.Ukisoma vitabu vingi unaunganisha dots then unapata kile kamili kilichofichwa katika vipande vidogo vidogo
Ni KE huyuKiongozi kwani huyu Ni Ke?
Hapana hii ni made of Usangi.. Home sweet home😀
Watashindwa kama walivyoshindwa Toka day 1
Kete Yao ya mwisho ni kuchochea mgawanyiko wa kidini,nayo imebuma.
Hii kenge maji achana nayoAmekusema wewe?mbona unajistukia sana wewe unaetetea maovu ndio unailazimisha furaha chawa mkubwa wewe
Acha mambo yakoUbarikiwe sana. Mtu akiishakuwa na jina
La kishetani, EvilSpirit , unategemea nini ?!, nakuombea kwa Mungu pepo waovu wakutoke.
P
Unyenyekevu Kwa binadamu? Uko sawa kichwani?Uzuri mmoja wa hii dunia ni kuwa penye ukweli, uongo unajitenga. Na anayedhani amesimama aangalie asianguke.
Tujifunze kuwa watu wanyenyekevu....tutashinda mambo mengi sana. Kujidai tunajua kila kitu na tuna nguvu za kila kitu ni kujilisha upepo, tuvimbiwe matumbo.
Halafu siku zote, ufalme wowote unaosimama kwenye misingi ya uongo uongo huwa unaanguka. Ipo mifano lukuki ya kuthibitisha haya. Tena toka enzi na enzi
Acha mambo yako
Mbona mnarumana kwani kasema nini huyo aliye sema.mnaweza mkatoana macho kumbe hana maana hiyo .Labda ana maana ya mchuuza samaki.Amekusema wewe?mbona unajistukia sana wewe unaetetea maovu ndio unailazimisha furaha chawa mkubwa wewe
Acha hayo mambo mkuuNdipo Yesu akamwambia, Nenda zako, Shetani - Mathayo 4:10
P.
Tga
Thanks all the same😀✌🏿💪🏿