Wamefanikiwa kumchafua mpaka hauziki tena! Je wana plan B? Ni ipi?

Wamefanikiwa kumchafua mpaka hauziki tena! Je wana plan B? Ni ipi?

Siku ya kufa nyani miti yote huteleza. Amekosa mvuto ndani na nje ya nyumba yake. Amebaki peke yake huku amezungukwa na nyie machawa na wanafiki wachache mnaojjifoa ufahamu ili kupingana na ukweli.
Nenda vijiji ukalione vibe lilivyo utajua mambo ya mtandao sio ya kutegemea
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
 
 
 
 
downloadfile.jpg
 
 
Chadema wanatapata, wanajuta kwa chaka walilo ingizwa na viongozi wao la kukataa kusaini kanuni za maadili na kujifungia mlango wenyewe wa kuto kushiriki uchaguzi mkuu. Wamenasa kwenye mtego na hawawezi kujinasua na wala hakuna mtu wa kuwanasua kwasababu wameingia wenyewe.

Ujuaji mwingi wameishia wasijue la kufanya kwa sasa......hawawezi kwenda mbele wala kurudi nyuma....wanabanwa na kanuni.
Ndio maana G55 waliigomea msimamo huo.
Kuchamba kwingi.
Hata Lisu akikutwa hana hatia, hawezi kugombea...na uchaguzi Mkuu upo palepale.

Mtego wa Pili Lisu kalopoka hadharani, mchana kweupe kuwa watafanya UASI, Hili sio game bali ni ujuaji wa Lissu ndio unakigharimu chama leo hiii...poleni sana kwa kuingizwa chaka.
Kukosa kiongozi mwenye hakima na busara ndicho kinacho wagharimu wanachama wa Chadema.poleni sana. wote mnatumbukia shimoni.
Umeshawahi hata kusoma katiba na kuielewa? Tuanzie hapo kwanza.
 
Tatizo haya mambo tunayasemea mitandaoni sehemu ambako hakuna watu wengi

Ukiwa humu unaweza dhani taifa kuna upinzani ,lakini ukweli watu wa mitandaoni,ni kakikundi ka watu wachache tu wenye kujitia matumaini yasiyowezekana
Unajidanganya pakubwa sana!!
 
 
Watoto wa mjini wana usemi wao unasema... Ukijua hivi.. Sisi tunajua vile..!
Ukijifanya unazijua sana shotikati za mjini.. Utaingizwa kwenye chocho refu ambalo linaishia chooni kwa mtu ama magetoni kwa masela! Hapo uamuzi ni wako kunyoa ama kusuka, kwakuwa yote mawili hayatawezekana kwa wakati mmoja.

Ujuaji mwingi huishia kupigwa! Hill chocho walilomuingiza, aliyeingizwa choo cha city anasubiri.. Maana ni chocho baya lisilo na rivasi.. Lakini je wana plan B.. Maana huko walikomlengesha hachomoki! Hata kwa kudra za Maanani!

Kuna akili na kuna maarifa.. Lazima kwenye kila misheni hivi vyote viwili viwe applicable.. Ukitumia kimoja ukaacha kimoja umekwisha!
Wezi wengi wana akili ya kuiba lakini hawana maarifa ya kuishi na mali ya wizi.. Kesi study ya Justine Kasusura.. Pesa ina kelele japo haipendi kelele.

Nina hakika wamekuwa na akili ya kumwangushia jumba bovu lakini sina hakika kama kwa asilimia 100 wana plan B iliyonyooka! Isiyo na mauzauza
Je wapishi wakuu kwenye hili ni akina nani!? Vyovyote vile iwavyo hawa hawakosekani.. Mfalme wa rock n rolls😀 na chamdeko mwana mpendeka!

Mioyo ya watu ni kiza kinene.. Ukijua hivi wanajua vile..

Taswira za kinyongaView attachment 3324012
Yote umeandika point,ila umekuja kukosea sana uliposema "Hata kwa kudra za Maanani".
Hapa umewainua wanadamu na umemshusha MUNGU.
Hii ishu ni kwamba,jamaa atashinda na nchi inaenda upinzani,Damu za watu zilizomwagwa zinalia kwa Mungu zikidai kisasi,so Mungu husimama na wenye haki,joka la la kijani litatupwa kuzimu muda si mrefu
 
Back
Top Bottom