Wamefanikiwa kumchafua mpaka hauziki tena! Je wana plan B? Ni ipi?

Wamefanikiwa kumchafua mpaka hauziki tena! Je wana plan B? Ni ipi?

Hivi kati ya professional Tibaijuka,Jaji Walioba vs Pasco Mayalla nani Kilaza.

Mda huwa mwalimu mzuri sana.Pasco pole sana.
Ulishajichanganya sana.
Sema tu,umebaki kuunga unga.Uchawa na Taaluma ni kama maji na Mafuta.
Done aibu basi.
 
Watoto wa mjini wana usemi wao unasema... Ukijua hivi.. Sisi tunajua vile..!
Ukijifanya unazijua sana shotikati za mjini.. Utaingizwa kwenye chocho refu ambalo linaishia chooni kwa mtu ama magetoni kwa masela! Hapo uamuzi ni wako kunyoa ama kusuka, kwakuwa yote mawili hayatawezekana kwa wakati mmoja.

Ujuaji mwingi huishia kupigwa! Hill chocho walilomuingiza, aliyeingizwa choo cha city anasubiri.. Maana ni chocho baya lisilo na rivasi.. Lakini je wana plan B.. Maana huko walikomlengesha hachomoki! Hata kwa kudra za Maanani!

Kuna akili na kuna maarifa.. Lazima kwenye kila misheni hivi vyote viwili viwe applicable.. Ukitumia kimoja ukaacha kimoja umekwisha!
Wezi wengi wana akili ya kuiba lakini hawana maarifa ya kuishi na mali ya wizi.. Kesi study ya Justine Kasusura.. Pesa ina kelele japo haipendi kelele.

Nina hakika wamekuwa na akili ya kumwangushia jumba bovu lakini sina hakika kama kwa asilimia 100 wana plan B iliyonyooka! Isiyo na mauzauza
Je wapishi wakuu kwenye hili ni akina nani!? Vyovyote vile iwavyo hawa hawakosekani.. Mfalme wa rock n rolls😀 na chamdeko mwana mpendeka!

Mioyo ya watu ni kiza kinene.. Ukijua hivi wanajua vile..

Taswira za kinyongaView attachment 3324012
View attachment 3324261
asitiwe hila
 
Tufanye ni kweli mitandao ina nguvu.

Lakini je,tunaweza kuandamana,ili kufikisha ujumbe Kwa wahusika?

Au sisi ni keyboard warriors tu
Hii hatua kwa hali iliyopo--- muda bado - sijaona kichocheo
 
Mkuu Mimi niwe CCM for nothing?

Ama kweli usilolijua sawa na usiku wa giza.

Halafu mna porojo sana nyie,unadai uelewa wangu ni mdogo?
Tufanye ni kweli.

Je wewe mwenye high IQ umefanya nini uliko?

Leo hii mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo yupo gerezani ukonga,anafanya maigizo mara agome kula,mara aandike barua kulaani shambulio la Padri kitima, hataki Kula dawa kutokana na mental disorder aliyokuwa nayo.

Je wewe na group kama la WhatsApp mna agenda au msimamo gani ili hawa wawe huru watu hawa ,

TAL , Soka,Mdude na maelfu ya watanzania ambao hawana wa kuwasemea?

Au ndiyo upo jf unaperuzi na kikombe cha kahawa pembeni 🤣🤣🤣

Jifunze kujenga hoja
 
Yawezekana tukawa keyboard warriors hiyo ni kweli .

Ila Mimi siwezi kuwabeza chadema kuhusu wao kukubalika mitandaoni kwakuwa mitandaoni wanaoitumia ndo hao hao wapo mitaani .

Ni hoja dhaifu Sana kusema kuwa mtandaoni kuna kakikundi ka watu
Mkuu, huyo mkuu kunakitu kasahau tuu maana hata vyombo vya dola vyenyewe havijawahi beza nguvu za hoja za mtandaoni.
Mfano mzuri ni Waziri wa mambo ya ndani kuita press kwa ajili ya waraka feki ambao umetrend mitandaon.

Mtandaoni kungekuwa weak kias hicho asingefanya hivo.
Pili ajiulize maandamano ya juzi hapo kwa kwa mzee Samora yalianzia wapi?
 
kujidanganya, kujifariji, kujipa matumaini hewa na kuilazimisha furaha ingawa moyoni una majonzi, ni unafiki na kitu mbaya sana gentleman 🐒
The guilty are afraid...! James Hadley Chase ...!
 
Tatizo haya mambo tunayasemea mitandaoni sehemu ambako hakuna watu wengi

Ukiwa humu unaweza dhani taifa kuna upinzani ,lakini ukweli watu wa mitandaoni,ni kakikundi ka watu wachache tu wenye kujitia matumaini yasiyowezekana
Sijui kwanini umeamua kwa makusudi kabisa kupotosha na ku underestimate nguvu ya mitandao ya kijamiii.. Sijui kwanini
 
Back
Top Bottom