Wamefanikiwa kumchafua mpaka hauziki tena! Je wana plan B? Ni ipi?

Wamefanikiwa kumchafua mpaka hauziki tena! Je wana plan B? Ni ipi?

kujidanganya, kujifariji, kujipa matumaini hewa na kuilazimisha furaha ingawa moyoni una majonzi, ni unafiki na kitu mbaya sana gentleman 🐒
Hizi kauli zinanikumbusha Dakika za mwisho za Jiwe aka Magu
 
Tatizo haya mambo tunayasemea mitandaoni sehemu ambako hakuna watu wengi

Ukiwa humu unaweza dhani taifa kuna upinzani ,lakini ukweli watu wa mitandaoni,ni kakikundi ka watu wachache tu wenye kujitia matumaini yasiyowezekana
Uko sahihi kbs mkuu JD
 
Watoto wa mjini wana usemi wao unasema... Ukijua hivi.. Sisi tunajua vile..!
Ukijifanya unazijua sana shotikati za mjini.. Utaingizwa kwenye chocho refu ambalo linaishia chooni kwa mtu ama magetoni kwa masela! Hapo uamuzi ni wako kunyoa ama kusuka, kwakuwa yote mawili hayatawezekana kwa wakati mmoja.

Ujuaji mwingi huishia kupigwa! Hill chocho walilomuingiza, aliyeingizwa choo cha city anasubiri.. Maana ni chocho baya lisilo na rivasi.. Lakini je wana plan B.. Maana huko walikomlengesha hachomoki! Hata kwa kudra za Maanani!

Kuna akili na kuna maarifa.. Lazima kwenye kila misheni hivi vyote viwili viwe applicable.. Ukitumia kimoja ukaacha kimoja umekwisha!
Wezi wengi wana akili ya kuiba lakini hawana maarifa ya kuishi na mali ya wizi.. Kesi study ya Justine Kasusura.. Pesa ina kelele japo haipendi kelele.

Nina hakika wamekuwa na akili ya kumwangushia jumba bovu lakini sina hakika kama kwa asilimia 100 wana plan B iliyonyooka! Isiyo na mauzauza
Je wapishi wakuu kwenye hili ni akina nani!? Vyovyote vile iwavyo hawa hawakosekani.. Mfalme wa rock n rolls😀 na chamdeko mwana mpendeka!

Mioyo ya watu ni kiza kinene.. Ukijua hivi wanajua vile..

Taswira za kinyongaView attachment 3324012
Jiwe kizani na kuna watu tayari limewafikia wameanza kutoa miguno uko
 
Utasema kweli wanatafuta haki kumbe wanatafuta madaraka wapate kula…ule mvutano juzi katika uchaguzi wao wa ndani umetufunza mengi sana, mpk leo bado hapajatulia.
 
Sio dharau Mkuu hilo jambo lipo wazi nadhani hata wewe unajijua Mkuu.

Kwakuwa hoja zako umeziona zilivyo dhaifu Sana ni MTU mjinga ambaye haelewi siasa anaweza kuongea Kama ulivyoongea.

Umesema Chadema wanaogopa uchaguzi

Unesema no reform no election ni hoja ambayo haina mashiko.

Umesema kukubalika mitandaoni useless kwakuwa mitandaoni kuna kakikundi ka watu.

So kwa hoja hizi ni nani ataona upo smart ndo maana nimesema kuwa sisiemu either uwe na IQ ndogo au uwe opportunity seeker.

Nyie ambao mpo sisiemu for nothing ndo mtaji wao Mimi pia nina ndugu wapo huko naelewa walivyo ghorofani
Mkuu Mimi niwe CCM for nothing?

Ama kweli usilolijua sawa na usiku wa giza.

Halafu mna porojo sana nyie,unadai uelewa wangu ni mdogo?
Tufanye ni kweli.

Je wewe mwenye high IQ umefanya nini uliko?

Leo hii mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo yupo gerezani ukonga,anafanya maigizo mara agome kula,mara aandike barua kulaani shambulio la Padri kitima, hataki Kula dawa kutokana na mental disorder aliyokuwa nayo.

Je wewe na group kama la WhatsApp mna agenda au msimamo gani ili hawa wawe huru watu hawa ,

TAL , Soka,Mdude na maelfu ya watanzania ambao hawana wa kuwasemea?

Au ndiyo upo jf unaperuzi na kikombe cha kahawa pembeni 🤣🤣🤣
 
Amekusema wewe?mbona unajistukia sana wewe unaetetea maovu ndio unailazimisha furaha chawa mkubwa wewe
Huyu lazima ni muislam maana hao ndio wana viherehere kwenye kika kitu, ndio maana waraka wa TEC umesomwa kwa serikali lakini cha ajabu masheikh daras la pili wanajifnya wasemaji wa serikali kuujibu ,viazi sana hawa
 
We ndo unajifariji,nawaona huruma
Unajua chawa kinachowatesa ni bness as usual mnasahau kuwa nyakati zimebadirika 😂
Nakuhakikishia this time hamtoboi Tena sio Kwa kura ila hamtoboi!
Ukiona mtu anatumia nguvu kufosi mambo ujue kwishney
 
Kuna siku TL atajikuta mwenyewe chumbani akijipigia kelele za No Reform No Election, wakati huo wafuasi wake wamepitia madirishani kwenda kutafuta ugali huko nje 😂 njaa haina baunsa.
 
Mkuu Amu,@amun ra,kwanza nakubaliana na Chadema,reforms ni muhimu,ila no。election ni hoodwinking,Chadema haina uwezo kuzuia uchaguzi usifanyike bila kufanya jinai!。Chadema isiposhiriki uchaguzi huu,that is the sad end of Chadema!。
P
Kazi yako ni ngumu sana umezeeka nashauri pumzika , Dalili zote zinaonesha hakuna uchaguzi na Chadema itaibuka kidedea na hutoamini
 
Huyu mzee Mungu ambariki yeye na uzao wake.....hajawahi kuacha kusimamia ukweli na haki
acheni uninga huvu vuzee ndoo vumesababisha tuwe na katiba mbovu mpaka leo hii. amekuwa kiongozi mkubwa mbona hakutumia cheo chake kuleta changes.
 
Back
Top Bottom