Wamefanikiwa kumchafua mpaka hauziki tena! Je wana plan B? Ni ipi?

Watoto wa mjini wana usemi wao unasema... Ukijua hivi.. Sisi tunajua vile..!
Ukijifanya unazijua sana shotikati za mjini.. Utaingizwa kwenye chocho refu ambalo linaishia chooni kwa mtu ama magetoni kwa masela! Hapo uamuzi ni wako kunyoa ama kusuka, kwakuwa yote mawili hayatawezekana kwa wakati mmoja
Ujuaji mwingi huishia kupigwa! Hill chocho walilomuingiza, aliyeingizwa choo cha city anasubiri.. Maana ni chocho baya lisilo na rivasi.. Lakini je wana plan B.. Maana huko walikomlengesha hachomoki! Hata kwa kudra za Maanani!
Kuna akili na kuna maarifa.. Lazima kwenye kila misheni hivi vyote viwili viwe applicable.. Ukitumia kimoja ukaacha kimoja umekwisha!
Wezi wengi wana akili ya kuiba lakini hawana maarifa ya kuishi na mali ya wizi.. Kesi study ya Justine Kasusura.. Pesa ina kelele japo haipendi kelele..
Nina hakika wamekuwa na akili ya kumwangushia jumba bovu lakini sina hakika kama kwa asilimia 100 wana plan B iliyonyooka! Isiyo na mauzauza
Je wapishi wakuu kwenye hili ni akina nani!? Vyovyote vile iwavyo hawa hawakosekani.. Mfalme wa rock n rolls😀 na chamdeko mwana mpendeka!
Mioyo ya watu ni kiza kinene.. Ukijua hivi wanajua vile..
Taswira za kinyongaView attachment 3324012
Je, kauli zake si inashabishi yanayotokea na hivyo kuashiria ndiye anaye waagiza na kubariki matendo yote hayo
 
Haya jmn tufungulieni code😂😂
 
Tatizo haya mambo tunayasemea mitandaoni sehemu ambako hakuna watu wengi

Ukiwa humu unaweza dhani taifa kuna upinzani ,lakini ukweli watu wa mitandaoni,ni kakikundi ka watu wachache tu wenye kujitia matumaini yasiyowezekana
Tanzania kama ukiitishwa uchaguzi huru, Samia hatoboi na atashindwa vibaya sana sana. Mitaani hapendeki hata kidogo tena wanawake ndiyo wanamchukia kweli kweli. Na huko CCM ndiyo wanamdharau kweli kweli. Ninachoungana na wewe ni kuwa hakuna namna ya kugeuza hizo chuki kuwa action. Yaani wananachi pamoja na kutompenda, hawawezi kufanya lolote kwa sababu wengi ni waoga. Njia pekee ya yeye kuondoka, ni kama wakubwa ndani ya CCM, wataungana na vyombo vya dola, kumuondoa jambo ambalo naona ni kama haliwezekani. Kuna ujanja mmoja ambao Samia kautumia ili CCM wasimgeuke.... ameachia viongozi wafanye ufisadi na mambo mengine machafu kiasi cha kuogopa mabadiliko i.e. wanaogopa akiingia rais mwingine, wanaweza kukosa ulaji na kuingia matatani.
 
Tatizo haya mambo tunayasemea mitandaoni sehemu ambako hakuna watu wengi

Ukiwa humu unaweza dhani taifa kuna upinzani ,lakini ukweli watu wa mitandaoni,ni kakikundi ka watu wachache tu wenye kujitia matumaini yasiyowezekana
Km ni kweli haya Kwann nguvu kubwa inatumika kumkamata watu wachache na juwatesa,kuwaua wasio na silaha?

Si wawaache wahangaike na hawa watu Wachache,kakikundinkm inavyosema?

Bro, nyakati zimebadirika sn
Ndo maana ht wao wanahangaika
 
Tatizo haya mambo tunayasemea mitandaoni sehemu ambako hakuna watu wengi

Ukiwa humu unaweza dhani taifa kuna upinzani ,lakini ukweli watu wa mitandaoni,ni kakikundi ka watu wachache tu wenye kujitia matumaini yasiyowezekana
Aliye mjeruhi Padre Kitima ameshayafikisha kwa wananchi wa kawaida kwa makusudi kabisa.
Sijui alikuwa anafikiria nini!
 
Mkuu Mshana,plan B ya nini。,what for?,wakati,issue ya 2025 sisi tuliisha malizana nayo kitambo?tena ni mimi nimewatangazia watu humu!Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!

P
Tatizo muhula umeisha ,SS hapo kwenye kulazimisha ndo yatatukia Yale ya ule Uzi uliandika hapa,Hebu naomba ule Uzi wako wa kuhusu yatakayotukia km ya mwendazake siuoni😂
 
Mkuu Mshana,plan B ya nini。,what for?,wakati,issue ya 2025 sisi tuliisha malizana nayo kitambo?tena ni mimi nimewatangazia watu humu!Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!

P
Heshima yako mkuu pascall mayalla (LLB).
Ila hisia zilizo nyingi ni za kumkataa....sema Tu labda mtulazimishie na kwa kawaida ya mtanzania tutamwachia Mungu.
 
Back
Top Bottom