Wamefanikiwa kumchafua mpaka hauziki tena! Je wana plan B? Ni ipi?

Wamefanikiwa kumchafua mpaka hauziki tena! Je wana plan B? Ni ipi?

Tatizo haya mambo tunayasemea mitandaoni sehemu ambako hakuna watu wengi

Ukiwa humu unaweza dhani taifa kuna upinzani ,lakini ukweli watu wa mitandaoni,ni kakikundi ka watu wachache tu wenye kujitia matumaini yasiyowezekana
Ukweli ndio huo,watu wanaandamana mitandaoni,barabarani hawapo.Jamaa yetu kapigwa kesi ngumu,huku mitandaoni wanaendelea na vitisho na vimbwanga hapa hamna kitu zaidi ya kutiana moyo.Na kuachiana mabaya saa ya ubaya
 
Shikamoo kizungu😂😂😂
Yes,
ni muhimu sana kukaa kwa kutulia kimya ili kujifunza kwamba ukiwa na nafasi ni vizuri kujitambua na kuwajibika ipasavyo, sio ukitoka kwenye nafasi hiyo ndio unabaini matatizo.
hiyo ni nonsense kabisa gentleman :pulpTRAVOLTA:
 
Mshindani yuko keko, hiyo inaitwa "amepita bila kupingwa" . Ni mwendawazimu pekee ndio anaweza kuwa na kiherehere cha kwenda kupanga foleni
Ndiyo maana Makamu kawaambi wafanyakazi waende na ma house girl siku yakura!!
 
Mkuu Mshana,plan B ya nini?,what for?,wakati,issue ya 2025 sisi tuliisha malizana nayo kitambo?tena ni mimi nimewatangazia watu humu!Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!

P

Kweli kabisa uchaguzi ulishaisha maana kilichopo mbele sio uchaguzi tena bali maonyesho ya ujinga wa kaburu mwanamke mzanzibar kwenye masanduku ya kura akishirikiana na mkwe na polisi.
 
Chadema wanatapata, wanajuta kwa chaka walilo ingizwa na viongozi wao la kukataa kusaini kanuni za maadili na kujifungia mlango wenyewe wa kuto kushiriki uchaguzi mkuu. Wamenasa kwenye mtego na hawawezi kujinasua na wala hakuna mtu wa kuwanasua kwasababu wameingia wenyewe.

Ujuaji mwingi wameishia wasijue la kufanya kwa sasa......hawawezi kwenda mbele wala kurudi nyuma....wanabanwa na kanuni.
Ndio maana G55 waliigomea msimamo huo.
Kuchamba kwingi.
Hata Lisu akikutwa hana hatia, hawezi kugombea...na uchaguzi Mkuu upo palepale.

Mtego wa Pili Lisu kalopoka hadharani, mchana kweupe kuwa watafanya UASI, Hili sio game bali ni ujuaji wa Lissu ndio unakigharimu chama leo hiii...poleni sana kwa kuingizwa chaka.
Kukosa kiongozi mwenye hakima na busara ndicho kinacho wagharimu wanachama wa Chadema.poleni sana. wote mnatumbukia shimoni.
 
Chadema wanatapata, wanajuta kwa chaka walilo ingizwa na viongozi wao la kukataa kusaini kanuni za maadili na kujifungia mlango wenyewe wa kuto kushiriki uchaguzi mkuu.
Ujuaji mwingi wameishia wasijue la kufanya kwa sasa......hawawezi kwenda mbele wala kurudi nyuma....wanabanwa na kanuni.
Ndio maana G55 waliigomea msimamo huo.
Kuchamba kwingi.
Hata Lisu akikutwa hana hatia, hawezi kugombea...na uchaguzi Mkuu upo palepale.

Hili sio game bali ni ujuaji wa Lissu ndio umemponza.....bahati nzuri alicho kitamka kiko wazi...ushahidi upo.....kesi ipo palepale.
Kukosa kiongozi mwenye hakima na busara wote mtaoshia shimoni....ndio kilicho wakumba wanachama wa chadema.
IMG-20250502-WA0016.jpg
 
Haya ni matokeo ya shule za kata na elimu bure. Ukichunguza Sana cheti chako kina saini ya ndalichako na picha yako pale juu. Si ajabu kukuta pia matokeo yako ya form 4 ni yale ya GPA
Unatumia akili ndogo sana
 
Back
Top Bottom