Wamefanikiwa kumchafua mpaka hauziki tena! Je wana plan B? Ni ipi?

Wamefanikiwa kumchafua mpaka hauziki tena! Je wana plan B? Ni ipi?

Aliye mjeruhi Padre Kitima ameshayafikisha kwa wananchi wa kawaida kwa makusudi kabisa.
Sijui alikuwa anafikiria nini!
IMG-20250503-WA0054.jpg
 
kujidanganya, kujifariji, kujipa matumaini hewa na kuilazimisha furaha ingawa moyoni una majonzi, ni unafiki na kitu mbaya sana gentleman 🐒
Wewe ni Chawa pro max, wanaokulipa sijui ni watu wa aina gani. Ningekuwa mimi silipi hata sent tano kwa chawa wa aina hii
 
Tofauti na neno gentleman na relax je unajua neno lingine? Just kidding don't take it seriously 😂😂😂
kuropoka sifahamu kabisa ndugu mdau,
hivi pamoja na mihemko mlijifunzia wapi? :pulpTRAVOLTA:
 
Wewe ni Chawa pro max, wanaokulipa sijui ni watu wa aina gani. Ningekuwa mimi silipi hata sent tano kwa chawa wa aina hii
changia hoja bila mihemko gentleman,
kusema ukweli hakuhitaji malipo :pulpTRAVOLTA:
 
Tatizo haya mambo tunayasemea mitandaoni sehemu ambako hakuna watu wengi

Ukiwa humu unaweza dhani taifa kuna upinzani ,lakini ukweli watu wa mitandaoni,ni kakikundi ka watu wachache tu wenye kujitia matumaini yasiyowezekana
Hata wakati wa Ukoloni watu kama nyie walikuwepo pia. Hakika tutavuka tu
 
Back
Top Bottom