Wamefanikiwa kumchafua mpaka hauziki tena! Je wana plan B? Ni ipi?

Je, kauli zake si inashabishi yanayotokea na hivyo kuashiria ndiye anaye waagiza na kubariki matendo yote hayo
 
Haya jmn tufungulieni code😂😂
 
Tatizo haya mambo tunayasemea mitandaoni sehemu ambako hakuna watu wengi

Ukiwa humu unaweza dhani taifa kuna upinzani ,lakini ukweli watu wa mitandaoni,ni kakikundi ka watu wachache tu wenye kujitia matumaini yasiyowezekana
Tanzania kama ukiitishwa uchaguzi huru, Samia hatoboi na atashindwa vibaya sana sana. Mitaani hapendeki hata kidogo tena wanawake ndiyo wanamchukia kweli kweli. Na huko CCM ndiyo wanamdharau kweli kweli. Ninachoungana na wewe ni kuwa hakuna namna ya kugeuza hizo chuki kuwa action. Yaani wananachi pamoja na kutompenda, hawawezi kufanya lolote kwa sababu wengi ni waoga. Njia pekee ya yeye kuondoka, ni kama wakubwa ndani ya CCM, wataungana na vyombo vya dola, kumuondoa jambo ambalo naona ni kama haliwezekani. Kuna ujanja mmoja ambao Samia kautumia ili CCM wasimgeuke.... ameachia viongozi wafanye ufisadi na mambo mengine machafu kiasi cha kuogopa mabadiliko i.e. wanaogopa akiingia rais mwingine, wanaweza kukosa ulaji na kuingia matatani.
 
Tatizo haya mambo tunayasemea mitandaoni sehemu ambako hakuna watu wengi

Ukiwa humu unaweza dhani taifa kuna upinzani ,lakini ukweli watu wa mitandaoni,ni kakikundi ka watu wachache tu wenye kujitia matumaini yasiyowezekana
Km ni kweli haya Kwann nguvu kubwa inatumika kumkamata watu wachache na juwatesa,kuwaua wasio na silaha?

Si wawaache wahangaike na hawa watu Wachache,kakikundinkm inavyosema?

Bro, nyakati zimebadirika sn
Ndo maana ht wao wanahangaika
 
Tatizo haya mambo tunayasemea mitandaoni sehemu ambako hakuna watu wengi

Ukiwa humu unaweza dhani taifa kuna upinzani ,lakini ukweli watu wa mitandaoni,ni kakikundi ka watu wachache tu wenye kujitia matumaini yasiyowezekana
Aliye mjeruhi Padre Kitima ameshayafikisha kwa wananchi wa kawaida kwa makusudi kabisa.
Sijui alikuwa anafikiria nini!
 
Tatizo muhula umeisha ,SS hapo kwenye kulazimisha ndo yatatukia Yale ya ule Uzi uliandika hapa,Hebu naomba ule Uzi wako wa kuhusu yatakayotukia km ya mwendazake siuoni😂
 
Heshima yako mkuu pascall mayalla (LLB).
Ila hisia zilizo nyingi ni za kumkataa....sema Tu labda mtulazimishie na kwa kawaida ya mtanzania tutamwachia Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…