Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Wengi wao ni tamaa tu kutaka kuishi maisha ya kisasa maisha ya anasa jumatatu mpaka jumatatu chipsi yai na nyama choma kama ma celebrity waoMaisha mjini ni magumu mazee , hata mshahara wa M3 ni foolish hapa mjini , dada zetu uwezo wa kutafta mdogo na mahtaji lazima wapate , Kwa vyovyote vile lazima wapige vizinga huku na kule , kama Una demu wako Unampenda Kwa hapa mjini mhudumie tuu kadr unavyoweza , kama huna pesa hapa mjini achana tuu na mapenzi , kama vip nenda kijijini ukaoe , au uwe unanunua malaya , demu yyte mwenye mvuto hapa mjini ni ngumu kumtuliza kama pesa ya kuunga unga
Mwanamke mmoja tu anaouwezo wakukufilisi vizuri hauna haja ya kutafuta Wanawake wengi kama lengo lako nikutaka kufilisikaUkitaka usifanikiwe kuwa na Wanawake wengi wengi.. Imagine kila mmoja wao atake hela ya matumizi etc.
Kuna muda niliamua kutojihusisha ktk mahusiano na Mwanamke hoehae sometimes inapunguza stress za vitu vidg. Mtu hata 2k ya vocha hana anakusubiri ww umtumie.
Manajua kutumia ndimi zenu kwa kutupa maneno matamu matamu kama asali 😀