Wamegeuza mahusiano kuwa ajira

Wamegeuza mahusiano kuwa ajira

Maisha mjini ni magumu mazee , hata mshahara wa M3 ni foolish hapa mjini , dada zetu uwezo wa kutafta mdogo na mahtaji lazima wapate , Kwa vyovyote vile lazima wapige vizinga huku na kule , kama Una demu wako Unampenda Kwa hapa mjini mhudumie tuu kadr unavyoweza , kama huna pesa hapa mjini achana tuu na mapenzi , kama vip nenda kijijini ukaoe , au uwe unanunua malaya , demu yyte mwenye mvuto hapa mjini ni ngumu kumtuliza kama pesa ya kuunga unga
Wengi wao ni tamaa tu kutaka kuishi maisha ya kisasa maisha ya anasa jumatatu mpaka jumatatu chipsi yai na nyama choma kama ma celebrity wao
 
Hamna mwanaume anaye shindwa kumpatia basics needs mpenzi wake na kama wapo wanao shindwa ni wachache sana sana.

Tatizo wanawake wa siku hizi wengi wao luxury needs wamezigeuza kuwa basics needs,anataka nguo zenye brand kubwa kila zikitoka,matoleo mapya ya simu,anataka viatu vikali vya brand kubwa kila toleo,bado utakuta an vikoba viwili,ana mchezo mmoja majina matatu.Hivyo vyote kavigeuza basic needs na hana shughuli ya masna mjini.

Sasa ndio ukute ana mashindano na marafiki zake ya matumizi,hapo ndio utadata kabisa, siku hizi ,hizi tabia mpaka wa uswahili wanazo,wanakopa mpaka mikopo akatunze tu au afanye sherehe birthday, mlipaji wanajua ni mwanaume.
 
Ukitaka usifanikiwe kuwa na Wanawake wengi wengi.. Imagine kila mmoja wao atake hela ya matumizi etc.

Kuna muda niliamua kutojihusisha ktk mahusiano na Mwanamke hoehae sometimes inapunguza stress za vitu vidg. Mtu hata 2k ya vocha hana anakusubiri ww umtumie.
 
Ukitaka usifanikiwe kuwa na Wanawake wengi wengi.. Imagine kila mmoja wao atake hela ya matumizi etc.

Kuna muda niliamua kutojihusisha ktk mahusiano na Mwanamke hoehae sometimes inapunguza stress za vitu vidg. Mtu hata 2k ya vocha hana anakusubiri ww umtumie.
Mwanamke mmoja tu anaouwezo wakukufilisi vizuri hauna haja ya kutafuta Wanawake wengi kama lengo lako nikutaka kufilisika
 
Back
Top Bottom