Wameibuka wandishi wa habari wenye masihara sana, ni afya kwa Taifa?

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
Uandishi wa habari kwa sasa umekuwa wa ajabu sana. Umegubikwa na masihara, mizaha na kutoa taarifa ambazo ni za uongo. Tukiendelea kulea na kuendekeza masuala haya tutaua nchi yetu.

Hakuna mtu anayekemea, viongozi wapo kimya tu. Kwanini haya mambo hayakemewi!?
 
Habari isiyokuwa na kichwa wala miguu inakera sana.
 
Ni miongoni wa waleta miswaada ya hati za dharura ya kunyamazisha watu sio, hao unaotaka wakemee wao ni wakweli kiasi Gani.
 
unaongelea juujuu, toa mifano ina maana uandishi huu wa kina oscar oscar na kumwembe au?
 
Ni waandishi wa habari wachache sana walio serious kwenye nchi hii
 
Ni waandishi wa habari wachache sana walio serious kwenye nchi hii
Tunazalisha jamii yenye mizaha na isiyo na heshima. Matokeo yake siyo mazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…