Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumzikia LumumbaHaya ni mateso yaani weekend unasema upumzike unaishia kusikiliza miziki tu.
Hali ni hio hioHali ikoje mkuu.
Wana-CCM hampaswi kupewa muda wa kupumzika.Ningekuwa karibu ningwaambia wagonge wimbo wa bia tamu au CCM ni ilellile Hadi kuchee!😂😂😂😂Sheria airuhusu kujenga shughuli za starehe kwenye makazi ya watu.
Waliomruhusu wamefanya makosa.Sawa atakuwa kabadilisha ndio maana anatamba kwa kulipa kodi wewe huna guts za kumhoji alitakiwa mwenye nyumba wako ahoji nae ataulizwa una wapangaji je unalipa kodi serikalini? Ndio maana kachagua kuchutama maisha ya songe vumilia au hama mtaa.
Atakuwa gaidi asije kata miti,,,mtaa husipitikeNi machadema tu hayo yanahasira za kesi ya Mwenyekiti.
Au pale 5N ni full makelele, magari, malaya kila kitu.Waulize wanaokaa jirani na Kidimbwi
Pelekeni malalamiko kwa mtendajiOfisi wanafunga mapema.
Wewe wasema, yeye kafuata taratibu wewe huna guts za kuchalange chochote we mpangaji tu, kibaya zaidi hudai risiti kwa mwenye nyumba subiri TRA wakudake tarehe 02Waliomruhusu wamefanya makosa.
Mjiorganise watu huko nendeni wilayani tuHuyo mtendaji nahisi ni mhusika maana toka wameanza kukarabati hakuwa anafahamu asiliruhusu?
Baa na kumbi kila mahali
Sijui tunajenga jamii ya aina gani.
You made my nightTena Ni vzr wawe usiku kucha wanapiga ule wimbo wa iyena iyena iyena iyena iyena CCM Ni nambari 1,wakimaliza hapo wanapiga na wimbo wa Hatunywi sumu hatujinyongi CCM mbele kwa mbele.
Asanteni Sana Investors mliojenga huo ukumbi na kwa wewe Mama wa serikali za mitaa kunywa Konyagi kubwa nitalipa.
Sio kwata mkuu,
Pote pamepimwa.
Eneo lilikua nyumba ya mtu wamefanyia marekebisho tu.
Mbezi beach,Masaki,Mikocheni kumejaa mabaa yanapiga kelele sana Napo ni skwata? Yaani siku hizi mitaa ya kishua ndio ina vurugu usiku kuliko uswazi.
Na mwenyekiti wa mtaa ameshakula kwa urefu wa kamba yake