Wamejenga ukumbi wa kufanya sherehe tunapokaa. Weekend hatulali

Wamejenga ukumbi wa kufanya sherehe tunapokaa. Weekend hatulali

Asee tupo to different mm hata kuwe na kelele vp usingizi kama kawa
 
Sheria airuhusu kujenga shughuli za starehe kwenye makazi ya watu.
Wana-CCM hampaswi kupewa muda wa kupumzika.Ningekuwa karibu ningwaambia wagonge wimbo wa bia tamu au CCM ni ilellile Hadi kuchee!😂😂😂😂
 
Sawa atakuwa kabadilisha ndio maana anatamba kwa kulipa kodi wewe huna guts za kumhoji alitakiwa mwenye nyumba wako ahoji nae ataulizwa una wapangaji je unalipa kodi serikalini? Ndio maana kachagua kuchutama maisha ya songe vumilia au hama mtaa.
Waliomruhusu wamefanya makosa.
 
Pelekeni malalamiko kwa mtendaji
Mtendaji akiwazingua nendeni wilayani

Ova
Huyo mtendaji nahisi ni mhusika maana toka wameanza kukarabati hakuwa anafahamu asiliruhusu?

Baa na kumbi kila mahali


Sijui tunajenga jamii ya aina gani.
 
Waliomruhusu wamefanya makosa.
Wewe wasema, yeye kafuata taratibu wewe huna guts za kuchalange chochote we mpangaji tu, kibaya zaidi hudai risiti kwa mwenye nyumba subiri TRA wakudake tarehe 02
 
Huyo mtendaji nahisi ni mhusika maana toka wameanza kukarabati hakuwa anafahamu asiliruhusu?

Baa na kumbi kila mahali


Sijui tunajenga jamii ya aina gani.
Mjiorganise watu huko nendeni wilayani tu
Angalia tu usije ukawa unayelalamika ni pekee yako mkuu

Ova
 
Tena Ni vzr wawe usiku kucha wanapiga ule wimbo wa iyena iyena iyena iyena iyena CCM Ni nambari 1,wakimaliza hapo wanapiga na wimbo wa Hatunywi sumu hatujinyongi CCM mbele kwa mbele.

Asanteni Sana Investors mliojenga huo ukumbi na kwa wewe Mama wa serikali za mitaa kunywa Konyagi kubwa nitalipa.
You made my night
 
Mbezi beach,Masaki,Mikocheni kumejaa mabaa yanapiga kelele sana Napo ni skwata? Yaani siku hizi mitaa ya kishua ndio ina vurugu usiku kuliko uswazi.

Huenda ni Makazi na Biashara ,kama mtu upo serious inabidi ununue eneo lililopimwa kwa matumizi ya makazi onlymhapo hautakuta Bar wala club ila ukichukua makazi na biashara inabdi ujiandae kisaikolojia maana wengi wanatumia kwa kufanya biashara.
 
Back
Top Bottom