Pre GE2025 Wamekubaliana; Mbowe Mwenyekiti wa Chama Lissu atapewa nafasi ya kugombea Urais kupitia CHADEMA

Pre GE2025 Wamekubaliana; Mbowe Mwenyekiti wa Chama Lissu atapewa nafasi ya kugombea Urais kupitia CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ila sasa wakimpitisha kugombea urais CHADEMA imejiandaaje kunako kampeni? Maana CCM wameishakimbia hatua kadhaa wako mbele mita nyingi kwenye mbio za kuwania Urais. CHADEMA itatumia mbinu gani kuifikia CCM iliyotimua mbio tayari hata kabla ya kipenga kupulizwa?
 
Inasemekana kuwa Ilikupooza mpasuko ndani ya CHADEMA, Lisu katulizwa kuwa hata kama akishidwa atapewa nafasi ya kugombea Uraisi kupitia Chadema.

Ila nafasi ya uenyekiti ibaki kwa Mhe. Mbowe.

Webmaster futa hawa machawa
 
Makubaliano yao sio yetu. Sisi tunataka ukweli isipokuwa wewe unayetaka ukweli ufunikwe na wachache kama wewe. Demokrasia ilianza uturuki na ifuatwe sawa sawa, waambie TANESCO ujinga wa kukata umeme waache maana tuna sola na jenereta wasipoteze pato la taifa
 
Subirini sultan asagwesagwe awe rojorojo, wajumbe walishamkataa wanaenda kummaliza kwenye box la kura,
 
Back
Top Bottom